Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Aaaaagh HAMY-D!Mkuu, kama ningefanikiwa kuiona hii thread mapema nae ningemuweka! amejenga hoja kwa umaridadi mkubwa. Sina mengi ya kusema zaidi ya kumkaribisha CCM tuijenge nchi yetu pamoja.
mbona slaa anataka kumpokonya himbo la kawe na kumpa bibi yake josephine?
Huu upuuzi mwingine achana nao!
Kueni jamani...
Amnyang'anye ubunge kwani ni wa SLAA?
Slaa anapiga kura ngapi kwani?!
Propaganga za kuichonganisha CHADEMA zilishashindwa ndugu yangu!
HAMY-D naona unaendelea kuwamwagia sifa wabunge wa chadema...Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!
Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!
Akiwa ana changia bungeni, mhe Halima Mdee ambae ni mbunge wa jimbo la kawe, ameipa za uso serikali kwa kuiambia amelaani vikali upotoshaji uliofanywa bungeni kuhusu mlipuko uliofanywa Arusha kuwa ni CHADEMA ndio walio husika.
Aidha, mhe Halima Mdee amesema, CHADEMA watakuwa ni wendawazimu wa kujilipua wenyewe kwa lengo la kujitafutia umaarufu au kutaka huruma kwa wananchi, wakati tayari nchi imewakubali, na mziki wa CHADEMA watauona rasmi 2015.

Yote hayo yanazungumzwa na hiyo migaidi ya CCM badala ya kutatua matatizo haya
View attachment 99835View attachment 99836
Nimekosa uhondo sikuwa kwenye tv,kama yawezekana mtu aliyerekodi atuwekee humu youtube tuone magamba yalivyotafakari pamoja na bibi kiroboto.
Mkuu, kama kuna ushahidi wowote ule unaoonyesha uhusika wa CCM kwenye lile tukio la mlipuko basi tunawaomba muupeleke kwenye mamlaka zinazo husika, tena kamishna ametoa mpaka ruhusa ya kuupeleka ushahidi huo Ikulu, sasa mpewe nini ili mthibitishe hizo tuhuma zenu? CHADEMA ina maadui wengi, wenda ni hao maadui wao wengine ndio waliolipua bomu pale Soweto na sio serikali kama mnavyotaka kuaminisha watu humu!