Akiwa ana changia bungeni, mhe Halima Mdee ambae ni mbunge wa jimbo la kawe, ameipa za uso serikali kwa kuiambia amelaani vikali upotoshaji uliofanywa bungeni kuhusu mlipuko uliofanywa Arusha kuwa ni CHADEMA ndio walio husika.
Aidha, mhe Halima Mdee amesema, CHADEMA watakuwa ni wendawazimu wa kujilipua wenyewe kwa lengo la kujitafutia umaarufu au kutaka huruma kwa wananchi, wakati tayari nchi imewakubali, na mziki wa CHADEMA watauona rasmi 2015.