Wakati wafanyakazi wa chini ambao ndio wanafanya kazi kubwa serikalini hakuna cha posho, exta duty issue kupata labda mara moja baada ya miezi 5 au 6 tena hela ndogo tu! malimbikizo ya mishahara kibao, watu wanaishia kukopa tu, ikija salary slip unatamani mtu mwingine asiione maana salio ni sh. 5000 tu mikopo kibao, jamani!!!!!!!!Ahsante Mhe Zito Kabwe na Mhe Mbowe pengine Serikali itasikia kilio cha wengi kwa kupitia ninyiMbowe ni mzalendo halisi wa nchi yetu, nimemsikia akisema pia viongozi wa umma wanatumia nafasi zao vibaya, wanasafiri na Business class au special,tembelea land cruiser, kulipana posho za mamilioni, semina kila wakati kuhusu kuepuka ugonjwa wa ukimwi n.k...............
hakika cdm kuna vichwa mkuu.. kuna mtu anaitwa shibuda ndio bado simuelewi elewi kabisa
naomba kamanda mbowe na jopo lako endeleeni na msimamo wenu wa kukata posho kwani watanzania tupo nyuma yenu na tunasubiri hatima ya jambo hilo. Haiewezekani wachache wakafaidi our national cake najua wao watashinda bungeni kwa wingi wao na makofi wanayopiga hata wakiwa usingizini hivyo naomba muheshimiwa mbowe, zitto. lema, mnyika, lissu, mdehe, vicent nyerere na majemedali wengine leteni hyo hoja kwa wananchi tuone nani zaidi kati ya walipa kodi na wapokeaji kodi
dah umenikumbusha aliyekua Mbunge wa zamani wa KIGOMA KASKAZINI (CCM) Bw KAHENA. Mara ya mwisho nilikutana nae Kigoma mjin anashangashangaa hakuna gari wala baiskeli.Aliyekuwa waziri kwenye serikali ya Mkapa, Kilontsi Mpologomi, nimemkuta anakopa spare za kufunga kwenye gari lake pale mtaa wa Libya, baada ya kuondoka yule mwenye duka akawa analalamika sana kwamba huyu bwana anapenda kukopa halafu kulipa kwa mbinde, kumbe walishazoea vya dezo serikalini.Na hiyo ndio siri ya wastaafu wengi kufa mapema mara baada ya kustaafu. Haya maisha ya kitaa watuachie wenyewe wabishi wa mjini.
kuhusu huyo mbunge ni kweli mimi mwenyewe nimesha mtengenezea computer zake kulipa shida ni kweli wanakuwa na hali mbaya sana hata ofisini kwake ukiingia jamani ukiambiwa alikuwa mbunge uwezi kuamini
Hapa shujaa ni Zitto tu

hakuna ya nguoni hapo, hiyo ni hali halisi ya waheshimiwa wengi baada ya kustaafu.... mura mura, sasa hii huoni ya nguoni kidogo tata!

Subiri tamko....kale kajamaa kanaitwa NAPE katapinga hili. MKAMA vipi jamani peoples power imemtuliza kwishneyyyyy. Mbowe heko saaana CCM mwisho wao umefika sasa!
Mkuu sikuelewi. Hivi ukitofautiana tu na mtu basi huyo mtu anakuwa ametumwa? Kwa hiyo na wewe kuna mtu amekutuma ili utofautiane na mimi? Acha kukimbilia kusema mtu ametumwa. Ina maana mimi siwezi kujituma mwenyewe? Ukiona hivyo ujue wewe ndio umetumwa kwa kuwa unawaza utumwa tuuuuu!kweli ni shujaa wa kuwa kiherehere cha ubinafsi, bilashaka ndo kakuweka hapa JF umtetee, hongera kwa ajira uloipata.
Mkuu sikuelewi. Hivi ukitofautiana tu na mtu basi huyo mtu anakuwa ametumwa? Kwa hiyo na wewe kuna mtu amekutuma ili utofautiane na mimi? Acha kukimbilia kusema mtu ametumwa. Ina maana mimi siwezi kujituma mwenyewe? Ukiona hivyo ujue wewe ndio umetumwa kwa kuwa unawaza utumwa tuuuuu!
mkuu na mimi huwa sikuelewi unaposema shujaa ni ZITTO tu, kwani hoja kaianzisha yeye au chama?
mkuu na mimi huwa sikuelewi unaposema shujaa ni ZITTO tu, kwani hoja kaianzisha yeye au chama? sina mawazo ya utumwa mkuu, post yako imenichefua, cdm km chama kina mashujaa.
Ushujaa wake unakuja kwa kuwa hiyo ni hoja ya Chama na ni msimamo wa chama na Chama kimesema kinaziondoa kwenye budget yake kivuli lakini wabunge wengine wanaendelea kuzipokea yeye kazikataa na kakataa kusaini hata baada ya kutishiwa kuwa atafukuzwa.
Mimi naona huyu ni shujaa kuliko wengine ambao wanasema tu kwenye majukwaa huku wanazinyakua hizo posho. Hao nawaona ni wanafiki walikubaliana waseme kuwa msimamo wao ni kuziondoa kwenye budget kivuli wakijua kuwa hakuna wa kuwahoji kwa kuwa budget kivuli haitaonekana wapi inatekelezwa.
Kumbe Zitto alikuwa anamaanisha wanalolisema na akaamua kufanya kwa vitendo, na sasa tunamuona amebaki peke yake kama dege lisiloliwa!! Upo kaka?
Posho Zitatugawa,
Usichefuke kwa hoja mkuu. Tupingane bila kupigana ama kuchefuana. Kwa hiyo Zitto si miongoni mwao?
Ha ha haa Malaria Sugu upo! Wapi Faiza FoxyKwa Kifupi ametema Nyongo ambayo sijui kama watawala wataweza KUIMEZA