Hata mimi nimemkubali sana ameongea vitu vya maaana sana sanaa,abarikiwe.jamaa nimemkubali kweli..alipoanza kuongea ilibidi ofc nzima shughuli zisimame tumsikilize..
Hata mimi sijamsoma vizuri!!Kasema nini sasa mbona hutuhabarishi
Jamani sijamsikia maana sikuwa na check bunge,nijuzeni
Tunaomba mwenye uwezo atuwekee hapa ili na sisi tujue kasema nini?
Kama utapata muda rudia kuangalia saa sita(6) usiku watarudia.Jamani sijamsikia maana sikuwa na check bunge,nijuzeni
ni kama kulikuwa na msiba aisee..!yahaaaaa ni kweli nimemsikiliza ameongea point mwanzo mwisho,alafu kulikuwa na utulivu wa hali ya juu pindi anaongea.
Nadhani Regia anahusika na hili swala,atatuwekea tu hiyo kitu.Naamini wapo waliorekodi wataweka hapa Duh
Hadi spika mwenyewe alikuwa mpole hakuna cha mtu kuomba muongozo wala taarifa,hakuna cha lukuvi wala olesendeka maana hawa wawili ndio wanakiherere cha kuomba muongozo na taarifa.ni kama kulikuwa na msiba aisee..!