Bungeni: Lowassa atangazwa Mtoro

Kuna tija kwa Taifa kwa sisi kuachakujadil hoja za maana na kujadili utoro wa Lowasa ? Guys lete mada zenye mashiko please.
 
Katika zoezi linaloendelea hivi sasa,la kupiga kura ya kupitisha Bajeti,Mh.Edward Lowasa ameitwa mtoro na wabunge wenzake baada ya jina lake kuitwa na kuwa kimya,kuna mbunge akaitikia mtoro.

Chuki binafsi + fitina = mauti/donda la moyo.
 
Ataitwa mtoro tu pale ambapo atakuwa hayupo bungeni bila kupata ruhsa ya spika. lakini kama spika kawaruhusu basi hao sio watoro.
 
Back
Top Bottom