Katika kipinda cha maswali kwa waziri mkuu. Pinda amesema kuwa hawatarajii kutoa tamko leo. Anasema bado wanaruhusu majadiliano na madaktari lakini kwa hatua za dharura wanafikiria mpango wa kuwarudisha madaktari wastaafu kazini na kuwachukua wote ambao wapo wizara ya Afya.
Leo katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Mh Lissu amemtaka Waziri mkuu ajipime na aone kama kweli anastahili kuendelea na nafasi yake ya uwaziri mkuu ama lah.
Hii imekuja baada ya Lissu kumwuliza mbona ahadi zake alizotoa juu ya sakata la madaktari kushindwa kuzitimiza?
Waziri mkuu akajibu kwamba ameshafanya the best kupambana na na swala hilo.
Mhe Lissu akamwambia kama ndiyo umeshafanya the best na bado Madaktari wameanza mgomo huoni ni wakati muafaka wa wewe kujiudhuru.
Mwishowe Waziri mkuu akatetewa na Madam Speaker.
Mh.Shymar Kweygir amwaga machozi Bungeni kuwalilia walemavu wenzie wa ngozi kwa kuuliwa na watuhumiwa kutokamatwa ili hali tembo aliyeuwawa porini watuhumiwa wamepatikana.
huwezi lazimisha ng'ombe kunywa maji ilhali umempeleka mtmi.
Mtoni?
Ritz mbona sikuhizi mbili umebadilika sana naona umeshaichoka hii serikaliWale ambao wataendelea kugoma hawatalindwa na polisi? kwani kazi ya polisi si kulinda raia na mali zao..
Kunyang'anywa leseni ya kufanya kazi hawana jeuri hiyo. Mwenye uwezo wa kumnyang'anya leseni ya kufanya kazi ni chama chao cha Medical Association of Tanganyika. Hata hiyo MAT ni mpaka uende kinyume na maadili ya udaktari ndio wanaweza kukunyang'anya leseni. Serikali inaweza tuu kumfukuza kazi ila bado leseni yake anayo na anaweza kuendelea kupractice popote.