Bungeni Live: June 19, 2012

Mbunge wangu wa CCM( Seleman) changia hoja acha kujibu hoja za serikali wewe sio waziri bwana utawapa magwandwa cha kuongea
 
Mbunge wangu wa CCM( Seleman) changia hoja acha kujibu hoja za serikali wewe sio waziri bwana utawapa magwandwa cha kuongea

Hujamuelewa suleiman, anatahadharisha watu wasome bajeti kabla hawajachangia.
 
Lusinde aliongea kwa Kizaramo na kwa msamiati zaidi but Mnyika kapayuka na kuropoka na leo hii atanyea ndooo
uphhhhhhhhhhhhhh..........nadhan ni lusinde na mnyika,,,okay mjadala uendelee
 
Kweli ni kichefu chefu, Hii Tanzania inaelekea wapi???????
Hawa Viongozi wetu waliopewa dhamana ya kuongoza nchi hii wanafanya nini. The most expensive hopsital ni Aga khan. Halafu tena ndo ina tax exemption. Kwa faida ya nani. Hao maponjoro wenye kukwapua rasilimali zetu na kuhamishia Canada na UK ndo wanatibiwa bure!!!!!!!!!
Itafika siku tutatoana roho kwa mwendo huu!!
 
Mnyika very lowwwwwwwwwwwwww 2day umejivua nguo brazaaaa
 
Kwa taarifa zenu kumbukumbu zimebaki vile kuwa mbunge wa Ubungo kamwita Rasi DHAIFU azifitiki

hahahahaaa,,,,,,,,kwani dhaifu ni tusi au ni nini????hadi ndugai amekasirika,,,,yeye akiitwa DHAIFU ANAFIKIRIAJE????
 
Suleiman: kodi zote za boda boda zifutwe, na viwanda vya korosho. Naomba waziri gharama za simu ziende kwa wamiliki wa makampuni sio watumiaji.
 
Chiku Abwao: Anampongeza mgimwa kwa kuongoze usajiri wa plate number binafsi
 
Chiku Agwao twende kazi sasa acha kutoa pongezi ambazo hazina sababu kabsaa plate number haziwezi kuikomboa nchi
 

yaan mbatia amenifumbua MACHO,,,,,jamani WAHINDI NISIVOWAPENDA KWA XPLOITATION,,,,NASHUKURU SIJAWAH KUTIBIWA KWAO,,,,MATATIZO YANGU YANAISHIA TANDALE,AL-HAMDULILLAH
 
Tutaona na kusikia mengi sana huko bungeni.Sisi wananchi kazi yetu ni kupima na tutachukua hatua wakati muafaka utakapofika.
 
chiku abwao: jana kuna wabunge wametoa lugha chafu, mbona hawajachukuliwa hatua yoyote?
 
Abwao anachangia, anahoji mbona wao wapinzani wameambiwa wapimwe akili Milembe, lakini ccm hawakushughulikiwa. Iweje wapinzani kutumia neno 'dhaifu' iwe nongwa? Hapa kuna jambo.
 
chiku abwao: jana kuna wabunge wametoa lugha chafu, mbona hawajachukuliwa hatua yoyote?

mama abwao ndo alivo yeye kwanza anamchana spika au naibu then anasonga,,,,,,,UKITAKA UTOE STRESS SIKILIZA BUNGE LAKO,LINALODHAMINIWA NA PCCB NA CAG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…