salito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,408
- 716
Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo.
Aidha aliongeza kuwa msanii huyo alpaswa kua na bodgad wa kumlnda.
ukisikia ukubwa jinga ndio huo,huyo mbunge nani kamwambia haters wa jk wapo uswahilini tu?huko uzunguni hakuna haters?ajue kikulacho ki nguoni mwako,na naomba mtu atumwagie historia ya huyo mbunge,lazima atakuwa amekulia kwenye shida,na ni masikini aliepata ambae makalio hulia.....