Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

mi nna hasira zaidi,
mwenye namba yake plz,,,
i cant hold it n more
 
Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo.

Aidha aliongeza kuwa msanii huyo alpaswa kua na bodgad wa kumlnda.

huyu mbunge vp... sasa nani akaishi sinza hizi ni dharau kwa wananchi waishio maeneo kama hayo
 
Ndio maana nasema bora tsunami ije itufagie wote! mtu kama huyo nae anawakilisha watu na ni mtunga sheria?

Anawakilisha jimbo gani huyo?
 
M**a*o sana huyu hatufai kbs anaongea utumbo bungeni harafu kamati za bunge wanamuangalia tu!
 
Haana jipya huyo kwanza viti maalum au jimbo lake lipo wapi;alishindwa kuchangiahoja wakati wa mgomo wa mdaktari ! Anjifanya anongea leo mwone kwanza
 
Wabunge wa CCM wanauelewa mdogo sana wa mambo.Sizani kama ni sahihi kudharau kiasi hicho makazi ya watu,isitoshe hao ndio wapiga kura wake.Kama yeye mbunge ameona kuna tatizo la sehemu kama hizo (makazi) ilipaswa aisimamie serikali yake iboreshe hayo makazi sio kubeza kiasi hicho.Serikali ya CCM kwa ukipofu na ukiziwi ndio inafanya wananchi wanaishi kwenye mazingira ambayo yeye mbunge anaona hayafai na kuyaita maeneo ya uswahilini.
 
kwa nini asiache ubunge na awe mwandishi wa magazeti ya udaku maana kama ndiyo aina ya wabunge tulionao mwisho wake nashindwa kuueleza
 
Yes,hawa ndio viongozi tulio nao,takataka kabisa,Kanumba awe na bodyguard?USANII UNAHITAJI KUULINDWA,UNA MANUFAA GANI KWENYE TAIFA.WE ARE SAFER WITHOUT IT AFTER ALL.
Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo.

Aidha aliongeza kuwa msanii huyo alpaswa kua na bodgad wa kumlnda.
 
Nini"SEBAKI"?
Siyo"SEBAKI"ba mdogo ni"SIMU BANKING"
Teh teh teh,hao ndio wabunge wa bongo vichwa maji!
 
sasa hao walinzi wangemlinda hadi chumbani wakati yupo faragha huyu mama mbona anadharau sana. avyosema uswahilini hakuna usalama na tunaoishi huku hatuna haki. kama mbunge anasemaje kuhusu watu wa uswahilini kukosa usalama.? Niliwai kusikia kuwa kuna baadhi ya wabunge viti maaluum ccm waliupata ubunge kwa rushwa ya ngono huyu sijui ni mmoja wao.!!
 
Back
Top Bottom