Bungeni: Kigwangalla amfundisha Mbowe hekima

Bungeni: Kigwangalla amfundisha Mbowe hekima

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
Akiwa ana changia, Mhe Kigwangala ambae ni mbunge wa jimbo la Nzega amemtaka Mbowe kuacha kuongea kauli tata kwani yeye ni kiongozi na maneno ya viongozi ni yenye kuaminiwa na watu.

Kwa mantiki hiyo, amemtaka Mbowe kuwa makini sana na kauli zake, hasa kwenye sakata la mlipuko wa bomu Arusha.

Akiwa ana changia pia akusita ku-challenge kauli ya Mbowe, kwa kusema yafuatayo "Mbowe amewezaje kumuona mrusha bomu wakati Mbowe alikuwa jukwaa kuu na bomu limerushwa kwa nyuma ya jukwaa?"
 
Mh Kigwangala ulikuwa unapata moja moto moja baridi wakati akielezea kuhusu mrushaji wa bomu??? Mh. Mbove alisema kuwa anaomkanda wa Video unaonyesha "mrushaji ni askari wa Field Force" Sasa unapoanza kumhoji alimuonaje napata vijiswali vingi kwamba je ulielewa meseji yake? Au nawe upo katika Lukuvinism!!!???
 
akiwa ana changia, mhe kigwangala ambae ni mbunge wa jimbo la nzega amemtaka mbowe kuacha kuongea kauli tata kwani yeye ni kiongozi na maneno ya viongozi ni yenye kuaminiwa na watu.

Kwa mantiki hiyo, amemtaka mbowe kuwa makini sana na kauli zake, hasa kwenye sakata la mlipuko wa bomu arusha.

Akiwa ana changia pia akusita ku-challenge kauli ya mbowe, kwa kusema yafuatayo "mbowe amewezaje kumuona mrusha bomu wakati mbowe alikuwa jukwaa kuu na bomu limerushwa kwa nyuma ya jukwaa?"

kuwa ethical ni kazi jamani.pole sana
 
Hii Mihrshimiwa mengine wanakuwa na tope vichwani mwao badala ya akili maana bora angenyamaza kuliko kuongea pumba Kama hizi
 
SAHIHISHO» Mh Mbowe hakuwa jukwaa kuu kama mtoa mada anavyojaribu kudanganya,ila alikuwa akikusanya michango kwa wananchi,wananchi hawakuwa jukwaa kuu ila walikuwa chini kuzunguka jukwaa kuu,Picha zinaweza kuthibitisha hilo.
 
Huyo Kigwangala nae ni sehemu ya vichekesho, kwa nini asikemee kauli ya bosi wake Mwigulu kwamba watakaoudhulia mikutano ya Chadema watakufa. matokeo yake kweli wamekufa.?
 
HAMY D acha kupoteza muda kujadili speculations. mna vyombo vya usalama TISS? jeshi nk, chunguzeni na toeni taarifa kama mlivyofanay kifo cha bARLOW UNLESS Nyie ni wanafiki tu. Mkishindwa kutoa majibu achieni serikali weney uwezowaongoze na kulinda raia.
 
Akiwa ana changia, Mhe Kigwangala ambae ni mbunge wa jimbo la Nzega amemtaka Mbowe kuacha kuongea kauli tata kwani yeye ni kiongozi na maneno ya viongozi ni yenye kuaminiwa na watu.

Kwa mantiki hiyo, amemtaka Mbowe kuwa makini sana na kauli zake, hasa kwenye sakata la mlipuko wa bomu Arusha.

Akiwa ana changia pia akusita ku-challenge kauli ya Mbowe, kwa kusema yafuatayo "Mbowe amewezaje kumuona mrusha bomu wakati Mbowe alikuwa jukwaa kuu na bomu limerushwa kwa nyuma ya jukwaa?"

We na huyo vitumbua ni mapimbi, nani alisema bomu lilirushwa nyuma ya jukwaa? ninani alisema mda huo mbowe alikuwa bado jukwaani? Mbowe alikuwa ameshuka kukusanya sadaka....Kwani Nepi Nnauye sio kiongozi? inamana kauli aliyoitoa nepi ni ya ukweli, yeye Nepi hapaswi kuwa makini na kauli zake??? subirini video ije.....
 
Kigwagwala unanlate down bana, kwa ulichofikilia na elimu yako haviendani!!
 
Ana hekima gani ambaye hata baba yake hamjui utakuwa na hekima mtu ambaye hana hata jina ubini kalewa fedha za kodi za wananchi ambazo anatumbua yeye kupitia WAMA hana adabu
 
Nahodha leo alimuumbua Mwigulu pale alipouliza swali eti kambi zote za jeshi zilizopo maeneo ya mijini zihamishwe na kupelekwa vijijini kama Iramba , Nahodha alimjibu kuwa kuweka kambi za jeshi sio sawa na kuanzisha soko ila unaangalia masuala mengi ya kiulinzi ...strategic areas ..........jamaa aliona aibu sana , nilidhani JKT ilimsaidia kumbe wapi anafikiri kambi za jeshi ni kama kuanzisha soko.......hii Hamy D uliiona au ......
 
kuna mada zingine huwezi changia na wala hazina mwelekeo ni zinajaza seva..na hii ndio moja wapo!!
 
Waache waendelee kuwatia hasira wananchi. Ninawaambia, wasubirie kuona kimbunga cha ummati utakaorudisha kadi za CCM huko Arusha na Arumeru.
 
HK huwa simuelewi kabisa,ila ni suala muda mtu hii dhambi itawatafuna tu wahusika wote.
 
Akiwa ana changia, Mhe Kigwangala ambae ni mbunge wa jimbo la Nzega amemtaka Mbowe kuacha kuongea kauli tata kwani yeye ni kiongozi na maneno ya viongozi ni yenye kuaminiwa na watu.

Kwa mantiki hiyo, amemtaka Mbowe kuwa makini sana na kauli zake, hasa kwenye sakata la mlipuko wa bomu Arusha.

Akiwa ana changia pia akusita ku-challenge kauli ya Mbowe, kwa kusema yafuatayo "Mbowe amewezaje kumuona mrusha bomu wakati Mbowe alikuwa jukwaa kuu na bomu limerushwa kwa nyuma ya jukwaa?"

Kwa ni huyo Kingwangwala wetu alikuwepo Arusha kiasi kwamba anaelezea yaliyo jiri Arusha?

Si hoja iliyo mbele yao ni Bajeti ya Fedha? Kwa nini asichangie hoja inayo endana na hiyo bajeti na badala yake wazungumzie mambo ya CHADEMA?

Inajulikana kwamba huwa hawana point za kuchangia bungeni, zaidi ya kuweweseka na Mzimu wa CHADEMA,

Mwambie achangie yanayo muhusu na aachane na CHADEMA. asubiri moto wake 2015.
 
Hehe nimemsikia kajaa kana ubongo mdogo sana..eti kanauliza vifaa gani alitumia wakati kanajua Camera na simu ni rafiki wa CDM.
 
Nakuhurumia sana Daktari Kigwangala, sasa sijui ulipewa maneno ya kusema au ni ya kwako? na kama ni ya kwako hukujua Mbowe alichosema? Hii inaonyesha kwamba unaishi kwa mazoea na sijui kama hali ndiyo hiyo hata uwakilishi wako pamoja na udaktari wako una mashaka.....tafakari, chukua hatua
 
Akiwa ana changia, Mhe Kigwangala ambae ni mbunge wa jimbo la Nzega amemtaka Mbowe kuacha kuongea kauli tata kwani yeye ni kiongozi na maneno ya viongozi ni yenye kuaminiwa na watu.

Kwa mantiki hiyo, amemtaka Mbowe kuwa makini sana na kauli zake, hasa kwenye sakata la mlipuko wa bomu Arusha.

Akiwa ana changia pia akusita ku-challenge kauli ya Mbowe, kwa kusema yafuatayo "Mbowe amewezaje kumuona mrusha bomu wakati Mbowe alikuwa jukwaa kuu na bomu limerushwa kwa nyuma ya jukwaa?"

...taratiiiibu naanza kuamini huyu muheshimiwa kajitwisha boga na hajazoea kuambiwa ukweli wa papo kwa hapo. hiki ni kizazi kingine sio kile cha kale ambapo ukweli unaongelewa hadharani bila hofu. haya chagonja katia muhuri maneno ya mbowe sasa yeye analialia nini...??
 
Back
Top Bottom