kabhakulu.com
Member
- Apr 17, 2013
- 70
- 8
Hata huyo Kigwangala alifahamu vipi kuwa lilirushwa nyuma ya jukwaa kama c mhusika jamani? Tuwe makini na kauli za walugaluga wadikiwa na uwezo wa kupambanua mawazo
Akiwa ana changia, Mhe Kigwangala ambae ni mbunge wa jimbo la Nzega amemtaka Mbowe kuacha kuongea kauli tata kwani yeye ni kiongozi na maneno ya viongozi ni yenye kuaminiwa na watu.
Kwa mantiki hiyo, amemtaka Mbowe kuwa makini sana na kauli zake, hasa kwenye sakata la mlipuko wa bomu Arusha.
Akiwa ana changia pia akusita ku-challenge kauli ya Mbowe, kwa kusema yafuatayo "Mbowe amewezaje kumuona mrusha bomu wakati Mbowe alikuwa jukwaa kuu na bomu limerushwa kwa nyuma ya jukwaa?"
Akiwa ana changia, Mhe
Kigwangala ambae ni mbunge wa jimbo la Nzega amemtaka Mbowe kuacha
kuongea kauli tata kwani yeye ni kiongozi na maneno ya viongozi ni yenye
kuaminiwa na watu.
Kwa mantiki hiyo, amemtaka Mbowe kuwa makini sana na kauli zake, hasa
kwenye sakata la mlipuko wa bomu Arusha.
Akiwa ana changia pia akusita ku-challenge kauli ya Mbowe, kwa kusema
yafuatayo "Mbowe amewezaje kumuona mrusha bomu wakati Mbowe alikuwa
jukwaa kuu na bomu limerushwa kwa nyuma ya jukwaa?"
Moderators, haya mengine ni matusi makubwa sana, na wala siyo siasa hii...Ana hekima gani ambaye hata baba yake hamjui utakuwa na hekima mtu ambaye hana hata jina ubini kalewa fedha za kodi za wananchi ambazo anatumbua yeye kupitia WAMA hana adabu
mBOWE HANA CREDIBILITY KAMA KIONGOZI MAKINI WA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI, ANASHINDWA HEKIMA NA DK KIGWANGALLAAkiwa ana changia, Mhe Kigwangala ambae ni mbunge wa jimbo la Nzega amemtaka Mbowe kuacha kuongea kauli tata kwani yeye ni kiongozi na maneno ya viongozi ni yenye kuaminiwa na watu.
Kwa mantiki hiyo, amemtaka Mbowe kuwa makini sana na kauli zake, hasa kwenye sakata la mlipuko wa bomu Arusha.
Akiwa ana changia pia akusita ku-challenge kauli ya Mbowe, kwa kusema yafuatayo "Mbowe amewezaje kumuona mrusha bomu wakati Mbowe alikuwa jukwaa kuu na bomu limerushwa kwa nyuma ya jukwaa?"