Kila wanapozunguka moja ya suala ambalo haliepukiki ni Afya
pamoja na afya maswali, suala la Afya limekuwa kama wimbo wa Taifa..Maabara hazina vifaa...Uwezo wa kutibu inaonekana umepungua kwa hiyo ni vema tukajielekeza kwenye kutoa kinga zaidi ya kutibu maradhi ambayo ni gharama kubwa sana
wahudumu ni wachache hasa vijijini ikilinganishwa na idadi ya watu wanaohudumia, na hao wachache waliopo hawana Motisha na wala vifaa vya kazi ni mzigo hasa
madawa hakuna
Mzimu wa MSD bado unajitokeza...hawana dawa..wanasema wanatumia muda kupata dawa...kikwazo ni nini? watanzania wataendelea kupata matatizo katika huduma za afya mpaka lini. anahoji Mhagama