Bungeni: Halima Mdee aambiwa anacheza 'mbwa kachoka'

Bungeni: Halima Mdee aambiwa anacheza 'mbwa kachoka'

Yule mama katamka hadharani watu wote tumesikia. Kwanza kamfokea sana Halima kama nafokea house boy hajakata maji ya ng'ombe. Kasema ameingie bungeni hajui hat muungano, kaingia haijui ngoma anacheza Mbwa kachoka!. Speaker naye kimya kana kwamba haoni.

UNATAKA KUSEMA N INI? NILIKUWA NA WAGENI WANGU HADI WAKASEMA, HII NAMNA HII YA SPEAKER KAMA KULE KWAO WATU WANAANZA FUJO NJE YA BUNGE KUPINGA HII UGANDAMIZI NA UDHALILISHAJI HII. INAONEKANA NI PERSONALITY ATTACKS WALA SI HOJA TENA.

WAKAULIZA, HIVI MKIUA OPPOSITIONS KWA SUPPRESSION NAMNA HII, MNADHANI MTAKUWA NA AMANI TENA?

SERIKALI INGEJUA INGEACHA HUU MCHEZO. SASA HIVI THE HELPLESS GROUP AMBAO NI WENGI WAKO CALM WAKIJUA WATETEZI WAO NI CHADEMA NA WANAWAANGALIA WAO. THE MOMENT MNAUA CHADEMA, NDIO WATAONA MKOMBOZI WAO KAUAWA, NA HAWANA MTETEZI WALA MTU WA KUWAJALI KWA KUWA SERIAKLI HAIWAJALI. HAPO WATAAMUA KUJILINDA NA KUJITETEA WENYEWE NA NDIPO MOTO UTAWAKA.
 
Mbona wewe si mtu makini kiasi hiki? Wewe si ndio ume comment hapo juu kuwa si tusi? Sasa kama si tusi una lalamika nini? Mbona unajisahau sana Chris Lukosi?

Duh,
Mkuu mbona tunatukanana tena?
 
Last edited by a moderator:
Neno hilo huyo mama wa ki Zanzibar ametamka na maana ya mbwa kachoka ni pale mbwa wakiwa wanafanya tendo kati ya mbwa jike na dume wakichoka kudandiana mbwa moja anaangalia magharibi mwingine anaangalia kusini then wanaanza kuvutana hiyo ndo mbwa kachoka.
 
wameambiwa watukane matusi mazito ili ionekane bunge si la wastalabu, na baadae wahalalishe lile lengo lao la kutoonyesha bunge live.
 
Hayo maneno mh mbunge kayatamka lakini hakumlenga mh Mdee kwa vile alikuwa akiponda taarifa ya kambi ya upinzani kuhusu Muungano! Taarifa ambayo iliwasilishwa na mh Silinde. Mh Mdee aliwasilisha maoni ya mazingira. Mdee aliposimama kuomba muongozi mbunge akasikika akisema anayaondoa maneno! Tuwe makini tunapotoa taarifa jamani

Hata kama kayaondoa...si katamka?
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Tawhida (CCM) anachangia sasa, anasema Halima Mdee anacheza "mbwa kachoka". Wataalamu wa lugha tusaidieni. NI mwendelezo wa matusi bungeni kutoka chama tawala.
Manyerere, kwa status yako ungejaribu kujitenga na siasa chafu zinazoendelezwa nchini. Vinginevyo, siku ya siku usije kuwalaumu ndugu zako.
 
Nioneshe tatizo la post yake akiwa kama muandishi wa habari!

Manyerere, kwa status yako ungejaribu kujitenga na siasa chafu zinazoendelezwa nchini. Vinginevyo, siku ya siku usije kuwalaumu ndugu zako.
 
Manyerere, kwa status yako ungejaribu kujitenga na siasa chafu zinazoendelezwa nchini. Vinginevyo, siku ya siku usije kuwalaumu ndugu zako.

Naomba ufafanuzi wa kauli hii "Vinginevyo, siku ya siku usije kuwalaumu ndugu zako".
 
Yule mama katamka hadharani watu wote tumesikia. Kwanza kamfokea sana Halima kama nafokea house boy hajakata maji ya ng'ombe. Kasema ameingie bungeni hajui hat muungano, kaingia haijui ngoma anacheza Mbwa kachoka!. Speaker naye kimya kana kwamba haoni.

UNATAKA KUSEMA N INI? NILIKUWA NA WAGENI WANGU HADI WAKASEMA, HII NAMNA HII YA SPEAKER KAMA KULE KWAO WATU WANAANZA FUJO NJE YA BUNGE KUPINGA HII UGANDAMIZI NA UDHALILISHAJI HII. INAONEKANA NI PERSONALITY ATTACKS WALA SI HOJA TENA.

WAKAULIZA, HIVI MKIUA OPPOSITIONS KWA SUPPRESSION NAMNA HII, MNADHANI MTAKUWA NA AMANI TENA?

SERIKALI INGEJUA INGEACHA HUU MCHEZO. SASA HIVI THE HELPLESS GROUP AMBAO NI WENGI WAKO CALM WAKIJUA WATETEZI WAO NI CHADEMA NA WANAWAANGALIA WAO. THE MOMENT MNAUA CHADEMA, NDIO WATAONA MKOMBOZI WAO KAUAWA, NA HAWANA MTETEZI WALA MTU WA KUWAJALI KWA KUWA SERIAKLI HAIWAJALI. HAPO WATAAMUA KUJILINDA NA KUJITETEA WENYEWE NA NDIPO MOTO UTAWAKA.
Nakubaliana na yote uliyosema, kuna watu wana ujasiri mi nimemsikiliza yule mama nikabaki nashangaa sikutegemea mwanamke wa ki zanzibar ambako mie nilidhani wana maadili sana awambie watu wazima eti wamekaa kama wanamsubiri bwana harusi ngomani! hana adabu kabisa yeye na spika wake
 
Manyerere, kwa status yako ungejaribu kujitenga na siasa chafu zinazoendelezwa nchini. Vinginevyo, siku ya siku usije kuwalaumu ndugu zako.

Wewe ni miongoni mwa wanafamilia, au ni msemaji wa familia?
Pia tuelezee kama ataendela familia inapanga kumfanya nini.
 
kazi kweli kweli au ndio waliyotumwa na wananchi kwenda kutoleana matusi bunge
 
wao watukane2 ila CHADEMA kuomba mwongozo wanatolewa bungeni,udhaifu wa spika
 
Bunge lenyewe ni ujinga tuu! vitanda maalumu havipo kwa ajili ya kuwasaidia watanzania na matatizo yao. Vipo kwa ajili ya wale walioviweka huko!
 
Spika kamchukulia hatua gani?

We baba weeeeee! Unataraji achukuliwe hatua gani?

12025_247562755379920_1954944451_n.jpg

Kama huyu tuliambiwa 'alikuwa akimsihi' itakuwa huyo aliyeongea tu?

Mwanzo wakati huyu mama 'anapewa' kiti cha uspikasikuelewa nia ni nini, sasa nimeshajua. Hatujiulizi kwa nini migogoro mizito namna hii haikutokea wakati wa Samwel Sitta?
 
Back
Top Bottom