Au na yeye ni Chakula cha Fastjet? Kitendo cha kumuagiza waziri asijibu hoja za wapinzani, utafikiri yeye ndiyo anashikilia dola.Nimemsikiliza yule mama mzanzibari, ameongea mipasho tuuuu na taarabu bila hata kujenga hoja,
Kilichonishangaza zaidi anamzuia waziri adijibu hoja za wapinzani, na badala yake wapinzani wakitaka majibu wamfuate yeye,
Inavyoelekea huyo mama hajui hata nafasi na wajibu wake masikini!!, yuko pale kutetea serikali na waxiri wake badala ya kuibana na kuihoji kwa manufaa ya wananchi, anajua kuwa ameingia bungeni ili kupambana na wapinzani. Pole zake!!.
Yaani mkuu ilikuwa ni aibu, At least alikubali kufuta baadhi ya maneno.Au na yeye ni Chakula cha Fastjet? Kitendo cha kumuagiza waziri asijibu hoja za wapinzani, utafikiri yeye ndiyo anashikilia dola.
mtu mwenyewe viti maalum ,achana nae
Si umesema sio tusi? Au sio tusi linapoelekezwa kwa mwenzio? Nyie wana siasa mtauana mwaka huuDuh,
Mkuu mbona tunatukanana tena?
Aise wenye watoto wadogo wekeni mbali na TV wakati wa bunge!!! Siku moja watakuita mbwa kachoka, fu..ck.y you dada/mom, puppy, etc!! Maadili poromoka ndani ya chama tawala. Shameful!!
We baba weeeeee! Unataraji achukuliwe hatua gani?
![]()
Kama huyu tuliambiwa 'alikuwa akimsihi' itakuwa huyo aliyeongea tu?
Mwanzo wakati huyu mama 'anapewa' kiti cha uspikasikuelewa nia ni nini, sasa nimeshajua. Hatujiulizi kwa nini migogoro mizito namna hii haikutokea wakati wa Samwel Sitta?
Duh,
Mkuu mbona tunatukanana tena?
aNakubaliana na yote uliyosema, kuna watu wana ujasiri mi nimemsikiliza yule mama nikabaki nashangaa sikutegemea mwanamke wa ki zanzibar ambako mie nilidhani wana maadili sana awambie watu wazima eti wamekaa kama wanamsubiri bwana harusi ngomani! hana adabu kabisa yeye na spika wake
Mkuu Kimbunga,
Tafsida kidogo mkuu mambo ya Zanziberi.
Ukifika Zanzibari pale Malindi kuna picha ya simba katulia anakunywa chai.