Bungeni Dodoma: Wabunge watatu wateule wala kiapo cha uamnifu

haiwezekani buana...... mie sijiaminishi kuwa huyu jamaa atazidishha 10yiaz kama anawaza hivyo na mie ngoja nianze kuwaza yangu.....jinsi ya kupambana na hiyo hali
Labda kwa albadir wanakiburi kwakuwa bunge ni Lao, polisi ni wao na magereza ni zao
 
haiwezekani buana...... mie sijiaminishi kuwa huyu jamaa atazidishha 10yiaz kama anawaza hivyo na mie ngoja nianze kuwaza yangu.....jinsi ya kupambana na hiyo hali
Matendo baba yanaongea sana, kuliko maneno, mkwere na yeye alijaribu pia ila ilikuwa mwishoni, ikafail. Sasa huyu anazani mkwere alifail simply alileta hoja mwishoni ndio maana yeye anaileta hoja mwanzoni kabisa akiamin atapata muda kumanuva mchezo mzima.
 
Bunge ambalo haliwezi kuisimamia serikali, na badala yake serikali inalisimamia bunge halina umuhimu wowote wa uwepo wake

Bunge ambalo mkuu wa mhimili wake anaagizwa nini cha kufanya na mkuu wa muhimili mwingine wa dola (serikali) bunge la aina hii halina umuhimu wowote kwa maslahi ya nchi

Bunge limebaki kuwa rubber stamp ya serikali
 
HAHA HAPO ndo atajua ndani ya (ccm yake) kuna ccm YENYEWE yaani ipo ileYENYEWE wao WENYEWE watahangaika naye yaani wala huku uraiani haitatufikia watahakikisha wanamfanyia yao .ccm ni genge la wahuni na wengi ndo hawa wapo huku mitandaoni mnaona kama ni upinzani unahangaika kumpinga huyu mwenye kutaka kuongeza muda kumbe ni ccm wenyewe .. asidhani wanafurahi sana anayowafanyia.. wanauma meno kweli muda upite
 
Bunge ambalo haliwezi kuisimamia serikali, na badala yake serikali inalisimamia bunge halina umuhimu wowote wa uwepo wake

Bunge ambalo mkuu wa mhimili wake anaagizwa nini cha kufanya na mkuu wa muhimili mwingine wa dola (serikali) bunge la aina hii halina umuhimu wowote kwa maslahi ya nchi

Bunge limebaki kuwa rubber stamp ya serikali
Bunge kimeng'olewa memo limebaki kibogoyo
 
Akili hizi, zamani dhaifu alikuwa JK sasa kapatikana tingatinga udhaifu mnahamishia eti bungeni na bado. Nasubiri kuona yule kidume aliyekula ban mwaka mzima alivyolowa.
Watajinyea tu awamu hii, maana saccos ya Mbowe ilishaanza kuvuja
 
hawa ccm wakipitisha hii sheria mbovu ya fao la kujitoa ntawachukia zaidi na zaidi.......wache kuchezea hela zetu
 
Mimi nangoja hii awamu ipite ili mihimili ya dola ifufuke. Tuione Tanzania tuijuayo, Tanzania yenye bunge na mahakama zenye meno na serikali yenye kutimiza wajibu wake wa kulinda raia na mali zao kwa mujibu wa katiba ya nchi na siyo kwa mujibu wa mtu wa Chatto.
 
Tanzanian kwa sasa hatuna bunge,tuna vikao vya ccm vinavyofanyika kwenye ukumbi wa bunge dodoma
 
Mimi nangoja hii awamu ipite ili mihimili ya dola ifufuke. Tuione Tanzania tuijuayo, Tanzania yenye bunge na mahakama zenye meno na serikali yenye kutimiza wajibu wake wa kulinda raia na mali zao kwa mujibu wa katiba ya nchi na siyo kwa mujibu wa mtu wa Chatto.
oooh yeah

namsikiliza huyu bwana aliona mbali saaana
 
Back
Top Bottom