Bungeni Dodoma: Wabunge watatu wateule wala kiapo cha uamnifu

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,698
Reaction score
2,262

​

Mkutano wa kumi wa Bunge unaanza leo Mjini Dodoma. Shughuli ambazo zitafanyika katika mkutano huo ni;

- Kiapo cha uaminifu
- Maswali (wastani wa maswali 125 ya kawaida na maswali 16 ya papo kwa papo)
- Miswada ya Serikali
- Taarifa za kamati ya kudumu za Bunge

========

Kikao cha Bunge tayari kimeanza na sasa ni wabunge wateule wanaaza kula viapo

Mbunge wa Songea Mjini Dr. Damasi Daniel Ndumbaro amekula kiapo cha uaminifu

Mbunge wa Singida Kaskazini mh Justine Joseph Moko anakula kiapo cha uaminifu

Mbunge wa Longido Dr Steven Kiruswa anakula kiapo cha uaminifu

Naibu Spika anawataka wabunge wasimame kukumbuka kifo cha Leonidas Gama
 
bunge dhaifu, vikao kama vya kitchen party
 
woyy wacha nitafute pesa hakuna Bunge Mahakamama Polisi tunangoja hii awamu ipite mihimili irudi mahali pake hatuna time na mambo yao haya wanakula pesa zetu tu huko kwa posho mchewww..........
 
Wanalishwa kiapo cha utetezi wa ubadhilifu wa Mali za umma unaofanywa na Chenge, Ngeleja, Tibaijuka na yule aliyenunua meli mbovu na kugawa nyumba za umma na zingine kugawa kwa ndugu zake.
 
Back
Top Bottom