Bungeni chonde-chonde jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni chonde-chonde jamani

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mnyitono 2, Dec 22, 2010.

 1. M

  Mnyitono 2 Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wabunge wetu.Jamani wanapoiandaa hiyo katiba mpya mimi naomba ishu ya 'RAIS AMBAYE YUPO MADARAKANI KATIKA KIPINDI HUSIKA'.
  Iwepo sheria inayomuondoa madarakani pindi za uchaguzi na kuliachia kazi jeshi lisimamie nchi.Ili naye aonekane kama mgombea wa kawaida.
  Tazama nchi za wenzetu tatizo kuwa linaloleta migogo ktk nchi mingi inatokana na kutokuwepo kwa hiyo sheria.Kwa sababu anakuwa bado na nguvu maana ikulu kuu na zile ndogondogo zinakuwa bado zipo chini yake,kwa hiyo anamua kile anachokitaka yeye.
   
Loading...