ni timu push-gang huyo, mirija imekata.Jamaa yangu siku hizi unatumia kinywaji gani kinakurudishia nguvu ya akili mwilini?

Ni Mwendo wa KULA kwa UREFU wa KAMBA YAKODodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.
Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.
“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.
Mwananchi
Na mwenyekiti wa LART ambaye ni mtoa hoja naye ni mbunge hewa!Kwani bungeni hakuna wabunge hewa?? ha ha ha
Hiyo haina shida. Tutaenda kukopa kufidia!Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.
Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.
“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.
Mwananchi
umekoseshwa buku Saba baada mwenda zake. now akili zimekurudi. Unahitaji ulinz bwasheeMbona bungeni kuna Hewa 19?
Mbona bungeni kuna Hewa 19?
Kama unavyofanya wewe sasaKwani waliondoka lini? C tu lile jama lilibadilisha tu kuondawa watu wasio lipenda na kuweka wa kabila lake tu
Bwaasheeee eti umesema?!😆😁Mbona bungeni kuna Hewa 19?
Ona sasa,haya ni majibu ya hoja au ni majibu Hisia zakoKwani waliondoka lini? C tu lile jama lilibadilisha tu kuondawa watu wasio lipenda na kuweka wa kabila lake tu
Hizo pesa zinajitoa zenyeweDodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.
Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.
“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.
Mwananchi
Imagine hako nika halmashauri kamoja tuSerikali ilifanyie kazi hili, hizo ni pesa nyingi sana za walipa kodi...
Nguvu ya maembe ya kisiwani na samaki wa nyumba ya Mungu. Akiwa Rombo bwashee anakua haeleweki.Jamaa yangu siku hizi unatumia kinywaji gani kinakurudishia nguvu ya akili mwilini?
Unapataje jeuri ya kutowasilisha nyaraka kwa LAAC wakizihitaji..anywei nani anadata sahihiSidhani kama mbunge anayo data kamili mifumo ya mishahara na ajira ya sasa hivi ni ngumu Sana kwa upigaji
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.
Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.
“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.
Mwananchi
Ya RAU MADUKANI inaweza ikawa inatoka kishumundu au PASUA... au hata chekereni au kwingineko... and hence yote imepanda thamani bwasheeSiyo Mbege yote imepata promo, iliyopandishwa ni Mbege ya RAU madukani.
Tulia ashakujibu bado tu unangangania hewa tu bwasheh, kubali yaisheMbona bungeni kuna Hewa 19?
Hivi aliyesema wanawake wana jambo lao 2025 siyo chief Hangaya kweli?