peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,755
- 21,313
Hivi aliyesema wanawake wana jambo lao 2025 siyo chief Hangaya kweli?

Tulia amewataka Chadema mmalizie mchakato ili awafurushe uviko 19!Tulia ashakujibu bado tu unangangania hewa tu bwasheh, kubali yaishe
Ova
chief Hangaya naye ni Pres… hewaMbona hata bungeni wapo
DuhTulia amewataka Chadema mmalizie mchakato ili awafurushe uviko 19!
Mkuu wale si ni viti maalumu kutoka Chadema? Au akili zimekurudi sasa?Mbona bungeni kuna Hewa 19?
Aliyesimamia zoezi la kuwafukuza wafanyakazi hewa alikuwa ni mpuuzi. Aliyeamini kwenye kufoka foka tu. Badala ya kuimarisha mifumo ili wasirudi hata akiwa Kafa kibudu yeye aliamini kwamba kelele za kisiasa tu zitatosha!Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.
Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.
“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.
Mwananchi
Wafanyakazi hewa wapo kuanzia Bungeni wapo 19, Serikali ianze kwanza na haoDodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.
Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.
“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.
Mwananchi
Kamati ingeanza na wale wafanyakazi hewa 19 walioko bungeni tungewaona kuwa wanafanya kaziDodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.
Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.
“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.
Mwananchi
Kamati imekuja na mwarobaini?Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.
Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.
“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.
Mwananchi
Wanga Sana nyie watu mmeona hamna pesa ya increment mmeanza lament kwa bunge,hiyo ni bange ya mikopo vuteni tuwaoneDodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.
Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.
“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.
Mwananchi
Magufuli ndio aliengineer wabunge haramu wakawa wanalipwa mishahara hadi leoAlafu wilaya zote zipo mkoa Tabora, Magufuli alikuwa Rais kweli