hahahaha! dunia ni yao na faru wameishaona hatuwaweziKumbuka jamaa kasema dunia siyo ya Mungu.
hahahaha! dunia ni yao na faru wameishaona hatuwaweziKumbuka jamaa kasema dunia siyo ya Mungu.
Polisi wameshindwa kuitafuta wala kuitambua silaha iliyotumika! Nini maana ya usajili wa silaha?
Washukuru hao hao unaowadhihaki kiongozi, fikiria wangeenda kwa mrengo unaowelaweka ingekuaje kabla Mh. Lisu hajakimbiziwa Nairobi? Hivi unajua kwanini familia imemuachia Mbowe na wenzie kuhusu swala zima la Lissu?mtu unataka utaratibu kwa mtu aliye mahututi..Ujinga huu..hawakutegemea apone..hawakutegemea wananchi watachanga visenti vyao.wanajikomba.na bado.wataumbuka sna wanahizaya kabisa
Alishajibu John Mrema kwamba mwaliko ulienda ofisi ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Mbatia ameitwa kama mojawapo wa makamishina wa Bunge. Hayo ya mleta uzi yanapingana kabisa na kaka wa Lisu alichosema kwamba kikao hakikufikia muafaka kwasababu Mbowe yuko Nairobi akimuuguza mgonjwa. Jamani someni hata mainstream media kama gazeti la Mbowe (Tanzania daima) mfano mtapata story zinazopingana na upupu wa magazeti yaliyofungiwa. Hawahawa ndiyo walituambia Saanane alionekana kwa ushahidi wa kimemo kilichokutwa chini ya mlango wa ofisi. Hawahawa waleta maneno ya ajabu hadi Madaktari wa Lisu wakaandika barua ya kulalamika kwa Mbowe. Jamani tuache kusiasisha maisha ya watuSijaelewa; why wamwalike James Mbatia na wasimwalike either Mbowe (kwa maana ya mwenyekiti) au kiongozi yeyote wa ju from Chadema ambako mgonjwa ndio hutumika nao badala yake wameenda NCCR-Mageuzi!? Kuna mtu naweza nielewesha hapa!? Mbatia angekua mtu wa Singida I could think, may be because ni home boy wake but Mbatia ni Mchagga wa Vunjo na tena wa chama tofauti na mgonjwa!? Well, ina maana hata yule mbunge wa Singida aliye enda kumjulia hali mgonjwa nae kawavimbia kuwaeleza hali halisi ya mgonjwa!????? Still najiuliza maswali mengi but all in all, damu ya mtu ni mbaya sana.
Hebu nipe uhakika wa hao watu kushindwa kumfuata Nairobi au popote Duniani? Think twice, argue don't make noiseMatatizo ya roho mbaya ni kuanza kutenda halafu kufikiri hufuata baadae.Watu walikataa kumtibia eti kwasababu utaratibu haukufuatwa.Hivi unaacha kumtibu MTU aliye maututi eti kwaajili ya utaratibu?Je kulikuwa na uhakika gani juu ya waliompiga risasi kutomfuata hospitali?Haohao wakasema wanataka familia ya Lisu iandike barua ili waweze kumtibia Lisu,lakini cha ajabu ktk mazungumzo yao na familia ya Lisu hayajapata muafaka eti kwakuwa chadema hawakuwa na mwakilishi ktk kikao hicho,huku ni kujichanganya maana walioambiwa waandike barua ni familia ya Lisu,sasa chadema ya nini hapa?Kama watanzania wasingechanga hela Lisu angetibiwa na brabra zenu?Si angeshakufa?Sasa mnawasiwasi wa nini? Au baada ya kusikia anaendelea vizuri?Najiuliza sana juu ya hiki kinachoendelea juu ya kumtibia mtu ambaye utaratibu haukufuatwa.Au tuamini kuwa utaratibu haukuvunjwa bali ni utashi tu wa wahusika? Na kama ulivunjwa iweje nao sasa hivi wanataka kuvunja utaratibu kwa kutaka kumtibia?Nini kinafaa hapa,ni kufuata utaratibu au utashi wa mtu?
ndio maana kikao hakikumshirikisha baunsa mbowe,kwa sababu familia wameandika barua kama walivyoelekezwa.sasa mchawi kama wewe unataka lisu atibiwe? na jiulize wachawi kama wwwe wako chama gani? alafu jiulize ni chama gani kinaunda serikali?
Wakati tunamuombea Tundu Lisu, hebu tumuunganishe na mheshimiwa Rais, Dr. John Joseph Pombe Magufuli kumuombea pia. Omba vyovyote utakavyo weza
ni ajabu sana lakini ni kweli kwamba chadema wanacapitalize kisiasa kwenye hili jambo.
Wamelazimishwa kufanya hivyo. Serikali na bunge ndio walioanza siasa sasa why wengine wasiendelee? Unawaona wanaoendeleza tu lakini huwaona walioanzisha. Nyie mmetaka kumuua sio awe hai sasa subirini tumtibu tuwaletee tena na this time mumpige na RPG kabisa.....mumiani wakubwa nyieni ajabu sana lakini ni kweli kwamba chadema wanacapitalize kisiasa kwenye hili jambo.
Akili na Mali bora nn?Serikali na bunge wanazidi kuumbuka kila kukicha kutokana na ubabe wao usiokuwa na maana.... Na bado, mtaendelea kuumbuka tu.... Mna roho mbaya nyinyi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
out of contextndio maana kikao hakikumshirikisha baunsa mbowe,kwa sababu familia wameandika barua kama walivyoelekezwa.
Ndugu hawawezi kukaa na kuona ndugu yao anazidi kuzama,kwa kuwaendekeza chadema na siasa zao za matukio huku ndugu yao anazidi kuteketea
Ndio maana niliuliza maswali, thanks umenipa majibu and hence nimeridhika walau kidogo. Napenda sana kuishukuru familia ya Lissu; ukweli wamewaheshimu waajiri wake. NAmani sana kusikia maneno mawili matatu toka kwa the former chief secretary wa Chadema mzee Dr. W. SlaaAlishajibu John Mrema kwamba mwaliko ulienda ofisi ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Mbatia ameitwa kama mojawapo wa makamishina wa Bunge. Hayo ya mleta uzi yanapingana kabisa na kaka wa Lisu alichosema kwamba kikao hakikufikia muafaka kwasababu Mbowe yuko Nairobi akimuuguza mgonjwa. Jamani someni hata mainstream media kama gazeti la Mbowe (Tanzania daima) mfano mtapata story zinazopingana na upupu wa magazeti yaliyofungiwa. Hawahawa ndiyo walituambia Saanane alionekana kwa ushahidi wa kimemo kilichokutwa chini ya mlango wa ofisi. Hawahawa waleta maneno ya ajabu hadi Madaktari wa Lisu wakaandika barua ya kulalamika kwa Mbowe. Jamani tuache kusiasisha maisha ya watu
Serekali inahusika na shambulizi dhidi ya Lissu full stopMtu kamiminiwa risasi kumi kwa makumi, leo matibabu yanasuasua wanataka vikao juu ya vikao....hapo utamtuhumu nani kwel?
AminaMkuu hao watu wa Rwanda tuachane nao Mungu anatenda miujiza.