johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,729
Credit: Hmdee twitter
Dah.Ha! Mdee naye anaingia kwenye Queens?
27 kwa 7 wapo vizuriPongezi zao kama wameshinda
nakuona fisi unatafuta nyamaAliyevaa sweta la pinki na nyeupe ni mbunge wa wapi..!?
nakuona fisi unatafuta nyama
walicheza na nani27 kwa 7 wapo vizuri
Walicheza na NSSFwalicheza na nani
pole sanaNgoja niliweke kwa kiswahili.
Malkia wa bunge
Sawa mkuu..pongezi zaoWalicheza na NSSF
Corrections: it's 26 -7
Pole ya nini tena mkuu maan neno QUEENS limenitoa pangonipole sana
Sasa si ndo maana nakupa pole maana umetoka mbio kuja kutahamaki mbele unamuona mdeePole ya nini tena mkuu maan neno QUEENS limenitoa pangoni