Hahahahahahahahahahhahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahaahhahahahahahahahahahah
Nnape bwana hamnazo kweli yeye amebakia Anologia hajui habari za Digitali, TV hata kwenye simu tunazo na tunaona hata kama tuko chooni wacha makazini
Kwa kiasi sana nami kauli za Nape zinaanza kunishangaza.Hivi ina maana huyu ndugu yetu hajaelewa mjadala? suala ni vurugu na wabunge wanaofanya fujo bungeni ndio chanzo cha bunge kutorushwa live.Sasa suala la kwamba likirushwa live watu huwa wanakuwa hawana muda wa kuangalia Nape unatuanzishia mada mpya.Samahani lakini mkuu Nape! ila nakushauri penye ukweli usilete masihara.!
Jamani hawa ndio wasanii nitakufa nikiwakataa!! hebu ona anavyojikanyaga!! Anavyomung'unya maneno. Hebu ona lack of moral authority!! na kwa aibu hapo mwishoni anaanza na "LAKINI pia---- I hate you Nape!! kuna kipindi uliniimpress uliposema unachukia unafiki. Lakini practically Nape ni Mnafiki.Kumekuwepo na Uvumi na upotoshaji mkubwa unaoendelea katika mitandao ya kijamii hasa hapa JF kuhusu kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Nape Nnauye.
Upotoshaji huo umejitokeza kufuatia Nukuu ya gazeti moja la kila siku la Nipashe kunukuu kauli ya Nape juu ya mjadala unaoendelea hivi sasa kuhusu kuonyeshwa ama kutooneshwa kwa Bunge la Jamhuri. Kilichojitokeza ni kuwa Mwandishi wa Gazeti hili aliwasiliana na Mwenezi kutaka maoni yake juu ya suala hilo na ndipo Nape alipofafanua kuwa hawezi kupinga suala la kuonyeshwa kwa Bunge live na kueleza kuwa tunalo tatizo la msingi la kushuka kwa nidhamu ndani ya vyombo vyetu vya maamuzi wakati mwingine lakini lazima tufikiri katika njia sahihi zaidi katika kutatua matatizo hayo bila kuzalisha matatizo mengine zaidi. Hakuna maana wala tafakuri iliyo sawa inayoweza kukubaliana na uamuzi wa kutoonyesha bunge ili kukuza nidhamu ya wawakilishi bali ni lazima kanuni zilizopo zifuatwe na zipewe makali zaidi ya kuwashughulikia wale wenye kufanya makosa. Ninachokisema ni kuwa tunahitaji muda zaidi wa kuonyesha bunge letu, ili kuwapa fursa wananchi kulifuatilia kwa umakini zaidi na kwa namna hiyo kuwaongezea ushiriki wao katika vyombo hivi vya kimaamuzi, lakini pia kuwaongezea hoja na vigezo vya maamuzi juu ya wawakilishi wao kwa yale wanayoyasema bungeni. Lakini pia hili la kutoonesha linakinzana na kanuni za utawala bora ambazo tunazifuata na kuzidumisha.
Hata hivyo Nape ameendelea kufafanua juu ya mjadala huo kupitia mitandao yake ya Kijamii, ambapo kwenye facebook ameeleza.lakini maelezo kama hayo ameyatoa kupitia akaunti yake ya twitter, ambapo amesema;
Ni mnafiki wa kufa huyu kilaza mkuu. Miye nimechukia maneno ya kisanii ya kuzunguka/kumung'unya. Huyu ni kuwadi wa wakubwa!! He has no independent opinion basi.Ni jambo la ajabu sana kuwa na wanasiasa vijana wenye maono primitive kama aliyotoa.Nimeshangaa kweli kweli na mbaya zaidi yeye ni graduate wa kwenye Journalism.Katika jambo baya zaidi ambalo mwanasiasa makini analoweza kufanya ni ku-compromise taaluma yake kukidhi haja za kisiasa
hao wasioenda kazini au maofisini unafikiri huwa wanazubaa ndani kuangalia bunge?kwa taarifa asilimia 80 ya nyumba mda huu ziko empty,au wapo mahousgal au wamama wa nyumbani na wako busy wanafanya usafi,kupiga deki kuosha vyombo,kufua,kuenda sokoni,kuandaa mlo wa mchana etc.
Wanaongaliaga TV mida kama hii hawazidi 5000 nchi nzima.
Unafiki wa NAPE ni upi..? kauli hii inafanana vipi na unafiki.,ama tafsir yako ya unafiki ni ipi..?Jamani hawa ndio wasanii nitakufa nikiwakataa!! hebu ona anavyojikanyaga!! Anavyomung'unya maneno. Hebu ona lack of moral authority!! na kwa aibu hapo mwishoni anaanza na "LAKINI pia---- I hate you Nape!! kuna kipindi uliniimpress uliposema unachukia unafiki. Lakini practically Nape ni Mnafiki.
soma maelezo yake na mwishoni "lakini pia-- Ni mtu asiyependa kuwaudhi wakubwa zake lakini anataka umaarufu wa UMA. huo ndio unafiki. Ungeelewa nini kwa maelezo ya mwanzo kabla ya "lakini pia--? Na hayo ya baada ya kazi maana yake nini? Si ina maana amekataa live show? NI MNAFIKI!!Unafiki wa NAPE ni upi..? kauli hii inafanana vipi na unafiki.,ama tafsir yako ya unafiki ni ipi..?
bado upo analogy mkuuu! watu tumetoka huko!hao wasioenda kazini au maofisini unafikiri huwa wanazubaa ndani kuangalia bunge?kwa taarifa asilimia 80 ya nyumba mda huu ziko empty,au wapo mahousgal au wamama wa nyumbani na wako busy wanafanya usafi,kupiga deki kuosha vyombo,kufua,kuenda sokoni,kuandaa mlo wa mchana etc.
Wanaongaliaga TV mida kama hii hawazidi 5000 nchi nzima.
Unakuja na ID fake.......
Umeona eeh. Hiyo, Id nimeshalishtukia hata mimi siku nyingi. However, it does not matter, cha msingi ameona maji yanazidi unga sasa anatafuta kurekebisha. Bunge lazima lioneshwe live. That is the bottom line. Kauli ya Mnyika pia ni mwafaka.
Nape akipata wasaa, asome tena hiyo nukuu aliyotoa kwenye gazeti la Nipashe. Inamvunjia heshma - yeye Nape- na pengine ni vema , in the future, akavuta pumzi na kutulia kabla ya kuongea na waandishi wa habari.
Kuonesha ni jinsi gani Nape amelikoroga, anasema: 'anaunga mkono jambo lolote linalota heshma kwa bunge'. Lakini anaendelea kwa kusema kuwa bunge linarushwa 'live' wakati wa asubuhi, na wakati huo (kwa maoni ya Nape) watu wako makazini, hivyo hawana muda wa kufuatili'
Kwa maneno mepesi sana, Nape anataka watu waazima na akili zao waamini kuwa kuonesha vikao vya bunge live- asubuhi kunalivunjia heshma bunge! Hii ni hadithi ya ajabu kabisa toka kwa Nape, na ndio maana nashauri asome tena nukuu yake ili aepushe chama chake na taifa kwa jumla na haya masimulizi ya kuanga-unga.
Heshma ya bunge haina uhusiano wowote na kurushwa live asubuhi, mchan, jioni au usiku wa manane. Kama bunge linaendeshwa kihuni kihuni, bila kufutata kanuni na taratibu zilizowekwa, usitegemee heshma. Kwa bahati nzuri tunayo mifano halisi. Bunge la Tanzania lilipata hesham kubwa wakati wa Spika Sitta. Na hii ni kwa sababu ya uelewa wake na kuheshimu utawala wa sheria lakini pia kuelewa kuwa bunge ni mhimili huru na wa muhimu kwa uhai wa taifa. Sitta aliongoza bunge kwa HAKI.
Makinda, kwa sababu anazozijua yeye, licha ya kuwa Naibu Spika wakati wa Sitta, amerudisha nyuma hatua zote tulizofikia, kama taifa kwenye suala zima la utawala wa sheria. Bunge haliwezi kuwa na heshma kama anayeongoza haelewi 'equation' ya heshma ya bunge inajumuisha nini? Bunge haliwezi kuwa na heshma kama mkalia kiti cha Spika anavuruga kanuni, taratibu,tamaduni/desturi zilizowekwa kuongoza bunge? Ukisshavuruga kanuni maana yake unaruhusu 'chaos'. Na dawa yake si kutoonesha vikao vya bunge 'live'. Hivyo, hoja ya Nape ni ya kipuuzi na haiwezi kutatua tatizo la msingi linaloharibu bunge.
hata ulaya ukileta upuuzi bunge linakuwa halitoshi..ndo dawa yenu na tutafika tu
Ni jambo la ajabu sana kuwa na wanasiasa vijana wenye maono primitive kama aliyotoa.Nimeshangaa kweli kweli na mbaya zaidi yeye ni graduate wa kwenye Journalism.Katika jambo baya zaidi ambalo mwanasiasa makini analoweza kufanya ni ku-compromise taaluma yake kukidhi haja za kisiasa[/QU Hata afanye makosa kiasi gani, bwana NAPE hawezi kufikia rekodi yako ya unafiki. Ktk siasa uchwara we ni profesa.Amepigiwa simu kutakiwa maoni, ameyatoa yamepotoshwa unataka akae kimya? Huyo mwenyekiti wako aliwahi sema livelive kuhusu ugombea wa Slaa kule karatu na baadaye akakana bila aibu baada ya magazeti kuandika sembuse huyu ambaye amekoseshwa kwa makusudi na mwandishi limbukeni?