Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
Ritz kwa sasa umebakia peke yako kutetea upumbavu!...vp wenzio mbona walikimbia juu ya malipo, wewe umeridhika?Mkuu wewe ndio uwa mtu wa kwanza kuripoti kwa mods nashangaa unavyokuwa mnafiki kwa kauli zako za kejeli...
Limekuwa Jando hadi bunge lifanywe SIRI?
Ni kitu gani kinachokufanya utuhumu kuwa ni wabunge wa ccm? Bunge lote hilo si wa CCM wala Chadema ni wababishaji tu huo ndio ukweli wenyewe na ndio sababu zaidi ubishani hakuna kinachofanyika; kimsingi hao si wabunge ni makada wa vyama wabunge karibu 90% ni vituko tu hata kuchambua bajeti hawajui hata hao wa upinzani kusoma bajeti yao wenyewe iliwashinda sasa tutasema tuna wabunge?
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chama,
Tatizo la Pro-Chadema JF wengi wao ni unafiki hivi wabunge wa Chadema wana mchango gani kwa taifa zaidi ya maslahi ya binafsi wanachofanya CCM bungeni na Chadema wanafanya hivyo hivyo.
Kama posho wote wanachukuwa aliyepinga na ambaye achukui posho ni Zitto Kabwe peke yake, mikopo ya milioni 90 wabunge wote wamechukuwa hakuna Chadema wala CCM...sasa hivi angalia vikao vya bunge sasa hivi uone wabunge wa Chadema wapo watano tu.
Juzi wabunge wameongezewa mishahara pamoja na posho wabunge wote wamekubali bahati mbaya hata wananchi hawajaambiwa.
Hapa hoja ni watetea hoja za kipumbavu na siyo U-chadema na U-ccm... wewe unaonekana umebaki peke yako kati ya watetea upumbavu.....Upumbumvu nadhani unao wewe mie JF nimekuja peke yangu na na jenga hoja peke yangu, nyie Chadema-Kata hata mkija 10000 napambana na wote wewe kwani unalipwa kiasi gani Slaa? Halafu JF sio mali ya Chadema ni jukwaa huru ulivyokuwa kauzu eti kwa sasa nimebaki peke yangu unadhani JF wote ni mateka wa Chadema.
kweli uoga mbaya sana, unaweza jinyea kwa kuogopa macho ya watu watakuona unaingia chooni...
Huyo aliyetoa hilo wazo kama sio Komba basi atakuwa mzee wa Mtera
Hapa hoja ni watetea hoja za kipumbavu na siyo U-chadema na U-ccm... wewe unaonekana umebaki peke yako kati ya watetea upumbavu.....