Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!


Kusaini itachukua muda mrefu,dawa ni Watanzania wote kutoka mitaani kama nchi za kiarabu wanavyofanya,siku mbili tu kila kitu kiko wazi mbona
 

Hivi ulitegemea aseme tofauti na hivyo. Hata Mh Wassira akiulizwa atasema vivyohivyo!
 
nimesikitiswa sana na kauli ya mzee mrema.ndg zangu.bunge linaendeshwa kwa kodi zetu maposho wanayo lipwa ni jasho letu watanzania.hivyobasi ni haki yetu sisi wapiga kura kupata haki yetu ya kimsingi.kuona wa wakilishi wetu.wanafanya nini bungeni.leo yanayofanyika bungeni kwa wabunge wa upinzani kutetea kwa dhati maslai ya wananchi.inaonekana ni utovu wa nidhamu.hembu fikiria.hoja ya mbatia.na john mnyika.zilivyo chakachuliwa.je tungekua hatuoni live ingekuaje.tanzania sasa hivi ukisema ukweli unaitwa mchochezi huu ni mpango wa mafisadi kufikia malengo yao.nawatafanya kila njia lakini ndio mwisho wao na ao vibaraka wao.mwisho wao umefika.watanzania tunaona sasa hivi ni waelewa ipi pumba upi mchele.
 
Anatafuta cheap popularity. Kumbukumbu zangu zinanionyesha ni huyu huyu aliyekiuka katiba na kutaka MAHAKAMA YA KADHI IWEPO. Mungu amrehemu, kwani anajiharibia.
 
Kwanini lisionyeshwe LIVE? Kama kuna madudu yanafanyika bungeni lazima tuyajue ontime....Nadhani kikubwa sio eti linatia aibu kwa hoja balii wanataka kutuficha tusione wanavyosinzia na wanavyohudhuria kwa kusua sua...kama kutokuonyewsha live basi la kenya ndo hasa lingefutwa kabisa......
 
WanaJF,

Yanayotokea Dodoma (matusi bungeni) sio bahati mbaya bali ni mkakati wa chama cha Matusi
kuhakikisha bunge either halioneshwi live ili kufunika madudu ya Budget na serikali yake kwa ujumla ama
kuwandoa wapinzani kwenye hoja za msingi kisa kuwafanya wapoteze dira.

hayo yamebainishwa na na kada mmoja ambaye ndiye mratibu wa hayo. Ila ameshangazwa na jinsi walivyofanikiwa
kwa kiasi kikubwa tangu kuanza kwa bunge hili.

Moja hoja ya budget ya office ya waziri mkuu zimepita kirahisi kuliko walivyotarajia.

Pili wamefanikiwa kuwaita CDM magaidi na hoja yao imeanza kushika kasi mtaani.

Sasa ni kuwauindia zengwe ama kuingilia mtiririko wa hoja zao kila wanapoongea bungeni ili tu kuwapandisha hasira
wasiweze kuchangia hoja.

stay tunned, Nipo Dodoma kwa kazi moja tu. MPAKA KIELEWEKE
 
Pamoja na mtu mmoja humu jf kusema Mungu hahusiki kwenye yanayoendelea, tunamwomba huyu Mungu aingilie kati kupitia Roho wake Mtakatifu maana turndako siko
 

Shosti mi ndio maana mbunge hopeless akifa mi wala siletagi unafiki, nafurahi zangu tu pale kati...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…