bigilankana
Senior Member
- Dec 15, 2009
- 144
- 4
pasco kijana wangu, kitaaluma umefafanua vizuri.
Lakini hata katika taaluma kuna kukosea kutafsiri. Mikataba ni siri kwa mujibu wa law of contract kama parties wa mkataba wamekubaliana hivyo. Tuchukulie kuwa katika KADCO parties walikubaliana iwe siri. Parties ni nani na nani? Mamlaka ya Viwanja vya ndege na KADCO. Mamlaka ya viwanja vya ndege inamilikiwa na Serikali na kwa kupitia Wizara husika, mkataba huu ulitakiwa kupelekwa kama taarifa kwa kamati ya bunge husika. sijui kamati gani.
Suala la kodi ya dola 1000 kwa mwaka sio suala la siri maana si lazima mamlaka zinazohusika na kodi za mapato zijue?
Mkataba huu unaweza kuwa halili lakini mbovu (legal but bad contract) kwani mwenye mali analipwa kidogo na mkodishaji.
KADCO ni pamoja na Mzee Kilewo kama mmoja wa wanahisa.