Bunge limeishaje bila kutaja mshahara

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
inawezekanaje kuna siri gani , kwa sabb gani, hawataki nani asijue? wanataka wananchi wasijue nini, haya mamo yanaashiria nini, ni ethics za wapi kuficha kiwango kipya cha mshahara, ndio njia ya kitaalamu kkontrol inflation,
what the hell these people plans
 
Ukiöna nchi ina tangaza mishahara juu,ioneee huruma kiuchumi,kupandisha mshahara ni kushusha thamani ya pesa na uchumi wa nchi,na kupanda mshahara ni kupandisha gharama ya maisha ndio maana hutaskia mishahara imepanda nchi zilizoendele,wachumi wetu walioko madarakani ajabu hawajui kwamba kinachohitajika c mshahara mkubwa bali pesa yenye thamani kubwa kama laki moja ya kima cha chini ikiweza kununua bajaji ni bora kuliko laki 7 isiyoweza kununua bajaji hivyo msingi ungekuwa thamani ya shilingi si kupandisha mshahara yani ni kama zuzu unachekelea kushuka thamani ya pesa yako na kupandagarama ya maisha. Mungu awasaidie hawa wana ccm waliosoma huku maamuz yao ni siasa wala c shule waliosoma.MUNGU BARIKI TZ.
 
Back
Top Bottom