Bunge limegubikwa na wasemaji wasiojua tofauti ya speak and talk

WABUNGE wengi kama sio wote hawana KARMA ya kiuongozi. WABUNGE wenye KARMA ya UONGOZI wanajikita katika kuhamasisha maendeleo ya nchi sio kuchochea kudhohofisha serikali. WABUNGE wanalia lia tu bungeni, kulalamik tu.
 
Basi angukuja na kujinasibu kuwa amehamsisha vya kutosha jimboni kwake ameongeza export.
Hivi hukumsikia jinsi alivyosema serikali imewatelekeza wakulima? Kama taifa hili karibu 70% ya wananchi ni subsistence farmers, halafu bajeti na mipango ya serikali haiweki nguvu huko, unategemea nini? Toka mwaka 2003, baada ya Maputo Declaration, iliyotaka nchi za Kiafrika kutenga angalau 10% ya bajeti zao kwa ajili ya sekta ya kilimo. Tanzania iliyosaini Azimio hilo, haijawahi hata kufikia kiwango hicho. Kilimo Kwanza imekwenda na maji; CAADP nayo hata haiongelewi; ASDP na kina DADPs ndiyo hivyo tena! Halafu unataka export za mazao ya kilimo ziongezeke, kiaje?
 
Kila nisomapo Mazda kama hii hupatwa n.a. mashaka makubwa. Hivi uelewa wa wengi ni wa aina hii kweli?

Wabunge wasihoji wala kukosoa?

Ill aonekane wa maana hadi awe mwekezaji,awe mjasilia mali au tajiri? Nini maana ya Bunge na uwakilishi?
 
Jana bungeni Mh. bashe alisema export zimepungua serikali inaficha data, naomba kumuuliza huyu kijana. Yeye ana mashamba mangapi ya korosho. Maana export haziwezi kuongezeka kama Watanzania hatulimi. Agepaswa kulalamika anauza sana nje na serikali inamfichia data.

KuhusuMabenki; Mabenki kibao hayapo kibishara. Matangazo yao kila siku yanataka fixed deposite, Mortage, na Mikopo ya wakandarasi hivi mamantilie anaweza kuweka fixed deposite? Wawakuze wafanyabishara wadogo wawe wakubwa. wanataka simple business kwanini faida zishishuke?
Mabenki mengi hapa Tanzania wanafanya biashara na serikali na matajiri wa kati na wakubwa.

Mbunge mwingine anasema Private partnership. Simuelewi! Tumeuza hapa viwanda vimebakia magofu. Private partnership hapa Tanzania ni dhambi. Tuliwaleta City Water tukala wa chuya. Tuliwaleta Celtel tukaumia, na Star Times yaleyale. Hata machungu hayajatusha. Anataka PPT ipi? Hajifunzi kutokana na makosa. Yeye kama anahela ajenge kiwanda. NDC wanataka wawekezaji au anatafuta pesa za kununua nyumba ya lugumi. Kama anataka pesa za kuandika proposal asahau. Pesa ipo shambani .

Jana imekuwa siku yangu ngumu sana. Nimehuzunika na nimenyong'onyea sana. Nimegundua kwanini bunge halionyeshwi live. Bunge halionyeshwi live kwasababu wabunge wanawalisha wananchi sumu.
Lazima wabunge wajue tofauti ya speak and talk. nimekuwa mgumu sana kusema kitu. Nimekuwa najifua sana.

Nape what is wrong? Elimu? Au nini? Tanzania is Moving in Right Direction Hata wazungu wanashangaa!!wewe huoni chochote?
Akili zingine bwana,kwa hiyo uhalali wa kuhoji unapatikana kwa kuwa na mashamba ya mikorosho
 
Duh, hujaweka data hata moja halafu bado unataka kubishana na mtu aliyeweka data Lukuki?

Endeleeni kuimba Iyena Iyena!
Sasa data ndio hoja! City water inahitaji Data gani? Tanzania tuna e
Akili zingine bwana,kwa uhalali wa kuhoji unapatikana kwa kuwa na mashamba ya mikorosho
ni mfano tu. Juzi Mzee makamba ameuza mkonge pia. kuna pareto ,pamaba na kadhalika
 
Tukipata wabunge 50 kama Bashe kutoka CCM basi donor country aliyoiota Raisi JPM inapatikana kabla 2023 huwezi kukwepa kilimo kama unataka viwanda
 
Sasa data ndio hoja! City water inahitaji Data gani? Tanzania tuna e

ni mfano tu. Juzi Mzee makamba ameuza mkonge pia. kuna pareto ,pamaba na kadhalika
Weka figures Mkuu.. Hakuna business ijayofanyika bila figure, hata Malaya hua analipisha kutokana na idadi ya mishindo au muda! Lazima mjifunze kutofautisha siasa na mambo ya business.
 
Kila nisomapo Mazda kama hii hupatwa n.a. mashaka makubwa. Hivi uelewa wa wengi ni wa aina hii kweli?

Wabunge wasihoji wala kukosoa?

Ill aonekane wa maana hadi awe mwekezaji,awe mjasilia mali au tajiri? Nini maana ya Bunge na uwakilishi?
Kazi ya wabunge ni kikosoa namna yai tutekeleze miradi au kwakilisha shida za watu au sheria gani ilekebishwe. Siyo kuongea kitu amacho serikali imeweka mazingira bora tayari. Sasa Serikali inafanyaje kuongeza wakulima wa pamba baada ya kufuta kodi zote za hovyo?
 
Wewe sijui ni wa wapi! Ili export ya nchi iongezeke ni hadi ulime korosho? Anyway tofauti ya 'talk' au 'speak' inaongezaje export statistics ya nchi husika?
Nimetolea mfano korosho. Najua unajua nilichoongea ila unataka kukosoa kama mbunge
 
Daaa we ni ndege aina gani maana uko shallow kiwango cha runway ya chato airport
 
Tukipata wabunge 50 kama Bashe kutoka CCM basi donor country aliyoiota Raisi JPM inapatikana kabla 2023 huwezi kukwepa kilimo kama unataka viwanda

Serikali inakwepa kilimo? Mpaka imweka wizara maalumu. Nilidhani Mh. bashe angekuja na hoja binafsi kuzibana benki ziwakopeshe wakulima. Hii ni hoja ya kibange. Serikali inamzigo mzito.
 
mtoa post kaeleza kinagaubaga alichotakiwa kufanya kabla ya kuongea alichoongea.

Rudi juu soma vizuri achana na mambo ya hoja kwa hoja.

Utafikiri hata tukiweka data hapa utazielewa:rolleyes:
Kwahiyo ili tuwe na viwanda inatakiwa kila mbunge afungue kiwanda? Ile ni ajira kama ajira nyingine hapewi posho kwaajili ya kuga jimboni serikali inatakiwa kutoa fedha hizo sasa ukichukulia kama posho ya mbunge ni fao la kijiji chenu ndo utakuwa na mawazo kama ya mleta mada
 
Daaa we ni ndege aina gani maana uko shallow kiwango cha runway ya chato airport
Serikali inakwepa kilimo? Mpaka imweka wizara maalumu. Nilidhani Mh. bashe angekuja na hoja binafsi kuzibana benki ziwakopeshe wakulima. Hii ni hoja ya kibange. Serikali inamzigo mzito
 
Serikali inakwepa kilimo? Mpaka imweka wizara maalumu. Nilidhani Mh. bashe angekuja na hoja binafsi kuzibana benki ziwakopeshe wakulima. Hii ni hoja ya kibange. Serikali inamzigo mzito
Unajua bajeti ya 2017/2018 ya kilimo?Unaju ni wakulima wangapi mahindi yao yamekamatwa wasisafirishe nje hali ndani ya nchi hakuna soko? Unadhani kuna benki inaakili ndogo haijui kwamba kukopa mkulima ambaye serikali inamghasi ni kujitakia mikopo isiyolipika?
 
Kwahiyo ili tuwe na viwanda inatakiwa kila mbunge afungue kiwanda? Ile ni ajira kama ajira nyingine hapewi posho kwaajili ya kuga jimboni serikali inatakiwa kutoa fedha hizo sasa ukichukulia kama posho ya mbunge ni fao la kijiji chenu ndo utakuwa na mawazo kama ya mleta mada

Ni kweli maana Mshihara na malupulupu wanaopata bungeni yanatosha. Kila mbunge akiwekeza pesa yake nchi ingesonga mbele kwa haraka
 
Unajua bajeti ya 2017/2018 ya kilimo?Unaju ni wakulima wangapi mahindi yao yamekamatwa wasisafirishe nje hali ndani ya nchi hakuna soko? Unadhani kuna benki inaakili ndogo haijui kwamba kukopa mkulima ambaye serikali inamghasi ni kujitakia mikopo isiyolipika?

Chakula cha kuku kipo juu, Unga upo juu alafu wakulima wauze mahindi nje ya nchi. Sijui upo nchi gani. maana hujui hali hali ya hapa nchini.
 
Back
Top Bottom