Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,205
- 1,459
Wana Bodi heshima kwenu.
Kutokana na ukweli kuwa miongozo ni muhimu na inapendeza inapotolewa wakati sahihi. Katika kuokoa muda, pesa za walipa kodi na kujenga umoja ndani ya Bunge, napendekeza miongozo iwe katika namna ifuatayo:-
1. MUONGOZO utolewe ukiambatana na madhara au faida iwapo HAUTAZINGATIWA.
2. MUONGOZO uambatane na way forward (mbadala) Wa hoja husika. Unapotoa MWONGOZO tu bila kuuvalisha Nguo na kuupa nyama inaonekana wakati mwingine Kama ni vurugu za kupanga.
Naomba kuwasilisha. Unaweza kuongeza ili tuliboreshe Bunge letu kwa tuwasaidie waombaji miongozo na viongozi Wa Bunge.