nkungu mwere
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 258
- 336
WassiraAlafu unakuta mtu anasema Chadema itakufa,atakufa yeye Chadema itaendelea kuwepo.
Chadema bila kubadili na kufanya siasa za kuheshimu dola watapotea na kuozea sero
State agent
Akina Mbowe si Chadema, Chadema ni chama si mtu. Kingunge aliondoka CCM, Kolimba aliondoka CCM na chama bado kipo, jifunze kufikiri na si kukaririshwa.Chadema bila kubadili na kufanya siasa za kuheshimu dola watapotea na kuozea sero
State agent
But chama ni watu,na watu ndio hufanya kiitwe chama,,,,upo!!Akina Mbowe si Chadema, Chadema ni chama si mtu. Kingunge aliondoka CCM, Kolimba aliondoka CCM na chama bado kipo, jifunze kufikiri na si kukaririshwa.
MENE MENE TEKEL PARSIN,umepimwa umeonekana umepungua sana,your days are being numberedChadema bila kubadili na kufanya siasa za kuheshimu dola watapotea na kuozea sero
State agent
Dola yenyewe ndo inatakiwa ikubali vyama hasa vya upinzani vifanye siasa huru ili iweze kujitambua wapi imepwaya, na si kutumia ubabe na kutopenda kukosolewa. Angalia yalofanywa na dola kupitia watendaji wake kwenye huu mchakato wa uchaguzi was serikali za mitaa ambao kwa sasa umeshakuwa kama was maigizo na kitoto kabisa.Chadema bila kubadili na kufanya siasa za kuheshimu dola watapotea na kuozea sero
State agent
Kwanini chadema wanachukuliwa kama siwatanzania nikiangalia hata taarifa zao sizioni kama ilivyokuwa zamani kwakweli pamoja nayote sintowasahau wamenifunza makubwa kuliko chama chochote Sikuwa mwanachama wala mshabiki wao bali nimepata mafunzo kupitia mikutano yao wanajuwa kufundisha kweli usipowaelewa hawa wewe kilaza japo mimi simwanachama nawala sitegemeiNimewaza sana nikapata jibu kuwa kweli CHADEMA ni ngangari, hebu fikiria mtihani huu wanaopitia viongozi wa juu karibu wote wa CHADEMA
Kwanza karibia wote wana kesi mahakamani, sasa ona hili,
- Wakiwa mahakamani bungeni wanaitwa watoro,
- Wakiwa bungeni mahakamani wanaitwa watoro,
- wakifanya vikao kwa ajili ya uchaguzi,polisi "dola"inavizuia
- Wakijipanga kwa uchaguzi msajili anawaamuru wafanye uchaguzi,
- Wakikomaa kwenye uchaguzi wagombea wao wote wanapoteza uwezo wa kusoma na kuandika,
Umebaki wewe kukaa ndani
Maendeleo yana vyamaNimewaza sana nikapata jibu kuwa kweli CHADEMA ni ngangari, hebu fikiria mtihani huu wanaopitia viongozi wa juu karibu wote wa CHADEMA
Kwanza karibia wote wana kesi mahakamani, sasa ona hili,
- Wakiwa mahakamani bungeni wanaitwa watoro,
- Wakiwa bungeni mahakamani wanaitwa watoro,
- wakifanya vikao kwa ajili ya uchaguzi,polisi "dola"inavizuia
- Wakijipanga kwa uchaguzi msajili anawaamuru wafanye uchaguzi,
- Wakikomaa kwenye uchaguzi wagombea wao wote wanapoteza uwezo wa kusoma na kuandika,
Acha upimbi wewe,lini Kolimba aliondoka ccm???Akina Mbowe si Chadema, Chadema ni chama si mtu. Kingunge aliondoka CCM, Kolimba aliondoka CCM na chama bado kipo, jifunze kufikiri na si kukaririshwa.
huwezi kutofautisha chama na watu. watu ndio wanaendesha chama, manifesto ya chama inategemea watu na inatungwa na watu, chama kinategemea hao watu ili wakiendeshe bila wao hakuna chama na makosa yao ndio yatapelekea chama kushuka kiushindani hata kupotea kabisa...... napia usiwe shabiki wa chama itakufanya uwe kipofu kwa mabaya yatayo tokea katika chama kama tunavo oona kwa CCM, CHADEMA, ACT etc. penda lengo la mtu na kwa sababu huwezi kujua lengo la mtu tuna tumia kuchambua hoja na tabia zake.....niki muuliza mtu wa CCM ataje mapungufu ya CHADEMA atataja mengi sana ila ukimwambia ataje ya CCM atababaika ai asitaje kabisa hivyo hivyo kwa CHADEMA so jaribu kui control nafsi yake isikufanye kua mfuasi unaeburuzwaAkina Mbowe si Chadema, Chadema ni chama si mtu. Kingunge aliondoka CCM, Kolimba aliondoka CCM na chama bado kipo, jifunze kufikiri na si kukaririshwa.
Muda wa mavuno utakapowadia, watawala watakuja kuvuna wanachokipanda sasa. Ukipanda maboga ukavuna maboga.Nimewaza sana nikapata jibu kuwa kweli CHADEMA ni ngangari, hebu fikiria mtihani huu wanaopitia viongozi wa juu karibu wote wa CHADEMA
Kwanza karibia wote wana kesi mahakamani, sasa ona hili,
- Wakiwa mahakamani bungeni wanaitwa watoro,
- Wakiwa bungeni mahakamani wanaitwa watoro,
- wakifanya vikao kwa ajili ya uchaguzi,polisi "dola"inavizuia
- Wakijipanga kwa uchaguzi msajili anawaamuru wafanye uchaguzi,
- Wakikomaa kwenye uchaguzi wagombea wao wote wanapoteza uwezo wa kusoma na kuandika,
Wewe wapoteze tu wenzio lakini ujue kuna siku yako inakuja pia unaweza ukafikiri ni mwamba lakini amini ninyi mnao tuchafulia chama kwa utekaji amstahili hata kula chembe ya tunda la kodi ya wananchi ninyi ndo mnatuletea siasa za kipuuzi kwa njaa zenu . Mnamuharibia muheshiwa raisi sifa bure kwa maslahi yenu.Chadema bila kubadili na kufanya siasa za kuheshimu dola watapotea na kuozea sero
State agent
Nimewaza sana nikapata jibu kuwa kweli CHADEMA ni ngangari, hebu fikiria mtihani huu wanaopitia viongozi wa juu karibu wote wa CHADEMA