Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
kwa hiyo wewe unadhani njia nzuri na yakudumu ya kutatua tatizo hili inaweza kuwa ni ile ya kuwa na spika na naibu wake ambao hawatokani na chama cha siasa?Spika,Naibu Spika na Wenyeviti wa wabunge wanatakiwa kuwa fair na kutumia vyema sheria na kanuni za bunge kwa manufaa ya Taifa kama Taifa na siyo kwa manufaa ya vyama.Watuonee huruma watanzania kwani tunamatatizo mengi ya kuyafanyia kazi hili la haki za kibunge lisiwe na lenyewe tatizo la kuanza kulifikiria.
kwenye bunge la Urusi Mwaka 2007 ilikuwa hivi;ndo hivyo kwenye msafara wa mamba na kenge wapo...........bora nusu hasara kuliko hasara nzima.
Nimeipenda hii!!Mmiliki ni anna makinda na job ndugai walengwa/benefisheries ni wabunge wa ccm na wapambe wao ambao wanaishi mjini kiujanja ujanja tu.
Wenzetu wa CHADEMA wanaiga mambo ya Canada.hebu check hapa mkuu.Spika,Naibu Spika na Wenyeviti wa wabunge wanatakiwa kuwa fair na kutumia vyema sheria na kanuni za bunge kwa manufaa ya Taifa kama Taifa na siyo kwa manufaa ya vyama.Watuonee huruma watanzania kwani tunamatatizo mengi ya kuyafanyia kazi hili la haki za kibunge lisiwe na lenyewe tatizo la kuanza kulifikiria.
Umeongea ukweli mtupu! Hawa akina Makinda n'a Ndugai wanawalaumu wabunge wa upinzani kwa kusababisha vurugu bungeni, lakini wanasahau kuwa nguzo kuu ya utulivu n'a amani ni kutenda haki, watanzania wote hivi sasa wanajua kuwa spika Makinda n'a Naibu wake Ndugai wanafanya upendeleo wa wazi kwa wabunge wa CCM, sasa yanapotokea haya yanayotokea sasa, hivi anayestahili kubeba lawama ni wabunge wa upinzani au Spika n'a Naibu wake??!!Nidhamu bila haki ni ngumu..
nidhamu itatusaidia nini kamamambo yaq msingi kwa wananchi hayazingatiwi.nidhamu ilikuwapo toka enzi za mwalimu,hakuna lolote linaeleweka lilishawahi kuamriwa zaidi ya kufuga wezi.Wakati fulani bhandugu tufikirini kwanza kabla ya kushabikia mambo ya ajabu ajabu bungeni kwa sababu kuna wabunge wakisifiwa ndo wanaendelea na kuna siku itakuwa vurugu kubwa.Nilazma wabunge wawe na nidham ndani ya bunge letu.
Huko Katika bunge la Korea tarehe 22 July 2009 ilikuwa hivi;
anakusudia kwamba mabomu yawe yanapigwa ndani ya bunge! Lissu lazma atakuwa anatembea na chupa yake ya maji wakati wote tehe! Tehe! Tehe!ilishajulikana kuwa wapinzani watalete vurugu siku nyiiingiii next tyme ffu watakuwepo kuwakamata wakorofi woootee
nidhamu itatusaidia nini kamamambo yaq msingi kwa wananchi hayazingatiwi.nidhamu ilikuwapo toka enzi za mwalimu,hakuna lolote linaeleweka lilishawahi kuamriwa zaidi ya kufuga wezi.Wakati fulani bhandugu tufikirini kwanza kabla ya kushabikia mambo ya ajabu ajabu bungeni kwa sababu kuna wabunge wakisifiwa ndo wanaendelea na kuna siku itakuwa vurugu kubwa.Nilazma wabunge wawe na nidham ndani ya bunge letu.
Huko Katika bunge la Korea tarehe 22 July 2009 ilikuwa hivi;
natamani itokee hivyo ili watu wajue wapo bungeni kufanya nini.maana mie naona wanatuzingua tu.tena inabidi waanze na yule bibi.kwa hiyo wewe unadhani njia nzuri na yakudumu ya kutatua tatizo hili inaweza kuwa ni ile ya kuwa na spika na naibu wake ambao hawatokani na chama cha siasa?
Hata mimi natamani spika, naibu spika wasiwe na vyama NA MAwaziri wasiwe wabunge.wawe ni wataalam wakuajiriwa.hapo natumai mambo yatakwenda vizuri.kwenye katiba mpya naamini hili litapitishwa.natamani itokee hivyo ili watu wajue wapo bungeni kufanya nini.maana mie naona wanatuzingua tu.tena inabidi waanze na yule bibi.
Wakati fulani bhandugu tufikirini kwanza kabla ya kushabikia mambo ya ajabu ajabu bungeni kwa sababu kuna wabunge wakisifiwa ndo wanaendelea na kuna siku itakuwa vurugu kubwa.Nilazma wabunge wawe na nidham ndani ya bunge letu.
Huko Katika bunge la Korea tarehe 22 July 2009 ilikuwa hivi;