Chief Isike
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 445
- 462

hivi haiwezekani kuwa wa kuajiriwa?asiye tokana na chama flani?
wajukuu zangu hali zenu,
kwanza niwakumbushe kitu kimoja, .....HAKI BILA YA WAJIBU, FUJO.....................
TAFAKARI...........................................HAKI,ELIMU, .............................................WAJIBU.
jana wenje!
Leo lisu,lema na msigwa!
Kesho mdee na rigia mtema.
Inakuaje m'bunge atolewe njee ya ukumbi wa bunge pale anapotetea maslahi ya taifa,? Kweli ina maana gani ya kuwepo wabunge wa upinzani bungeni? Ni aibu tupu.
Mh. Lema, lisu na mchungaji wametolewa njee ya bunge kwa kusema tanzania haina amani bali ni nidhamu ya uoga? Nini kazi ya wabunge wa upinzani bungeni kama sio kuikosoa serekali..? Kwa stahili hii ni bora au nashauri wabunge wote wa upinzani waligomee bunge tuu kuliko kudhalilishwa hivi kwa mnaofuatlia bunge nadhani mmenielewa naomba kuwakilisha
mungu ibariki tanzania

Nadhani Bungeni linatawaliwa na sheria,kanuni na taratibu.Je kila mbunge akiongea bila kufuata utaratibu bunge litaendeshwa vipi ?.

Sehemu ya hotuba ya Lema, leo bungeni. Kuna paragraph moja (nitaiweka baadae katika mjadala huu) Naibu Spika alimzuia kuisoma kabisa. Hivi lini Magamba hawa watakubali kukosolewa na kujibu hoja za wapinzani wao kwa hoja zenye mantiki. Serikali ya CCM wajenge hoja wasipayuke (Argue! Don't shout, Prof. Shivji in Intellectuals at The Hill).
"Mheshimiwa Spika,Mpigania haki za watu weusi wa nchini Marekani, Hayati Dr. Martin Luther King, Jr. aliwahi kusema kwamba peace is not the absence of war but merely the presence of Justice, yaani amani si hali ya kutokuwepo vita, bali ni uwepo wa haki. Kwa kipimo hiki cha amani, nchi yetu haina amani kama viongozi wa serikali na wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanavyodai kila mara. Hii ni kwa sababu, licha ya ukweli kwamba Tanzania hakuna vita, pia ni dhahiri Tanzania sio nchi ya haki. Nathibitisha;"