Tuanze na wote tu!Tuanze na Hawa wanaotunga hizi sheria bila kujali itikadi huu ukatili sana Kwa masikini
Ukiwekewa ya Rais,makamu na PM si ndio utachanganyikiwa!!!!!!!
Dikteta? Kosa tunalofanya upinzani ni kutetea wizi Kwa kutoa mifano isiyo na tija, Lazima tupambane na wawakilishi wetu sababu Ndo tuna uwezo nao ili wao wakalekebishe mengine, tusitukane tujenge hoja Dikteta Hiyo unaijua wewe mkuuDikteta anachukua milioni 400 kwa mwaka tax free na walipa kodi tunamlipia kila kitu chake ikiwemo chakula, gharama za maji na umeme, matibabu na usafiri wake ndani na nje ya nchi. Hivyo ndani ya miaka mitano analipwa 2 billions tax free.
Mkuu hapo bado kuna fungu la Ofisi ya Rais,pesa hii huwa haikaguliwi na CAG!Hii huwa anatumia kadri atakavyo!Dikteta anachukua milioni 400 kwa mwaka tax free na walipa kodi tunamlipia kila kitu chake ikiwemo chakula, gharama za maji na umeme, matibabu na usafiri wake ndani na nje ya nchi. Hivyo ndani ya miaka mitano analipwa 2 billions tax free.
tuna safari ndefu sana BadoHii nchi inaliwa na wenye meno, inajengwa na wanyonge...
Change is needed....
Sent using Jamii Forums mobile app
Dikteta? Kosa tunalofanya upinzani ni kutetea wizi Kwa kutoa mifano isiyo na tija, Lazima tupambane na wawakilishi wetu sababu Ndo tuna uwezo nao ili wao wakalekebishe mengine, tusitukane tujenge hoja Dikteta Hiyo unaijua wewe mkuu
Kama hujui hilo basi pole sana!Hizo ndio zile fedha akifanya ziara anagawa kama njugu!Huku anatoa mil 10,pale 15 nk!Hizi ndio kama zile alizowapa taifa stars mil 50 walipokuwa wanaenda Lesotho!Watu mnachekesha Sana humu
Ni mara ngapi umewekewa ya Rais!Ukiwekewa ya Rais,makamu na PM si ndio utachanganyikiwa!!!!!!!