Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,185
- 1,974
Hili Bunge Wananchi hatukupewa haki ya kuchagua watu tuliowataka
Hao ni wateule wa Magufuli
Hao ni wateule wa Magufuli
Wewe nyamaza!! Watamuita tena kumsumbua bure 😄😄Wabunge Wakifika Kwenye Hii Thread Wanasonya Tu Na Kutukana........Assad Ameleta New Vocabulary Kwa Bunge
Mkuu ina maana wewe ni Zaidi ya hiyo?Bora ww mwaka wa 3