Bonson
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 183
- 147
Ndugu wa JF,
Ninasikiliza kipindi cha Bunge live. Kuanzia Spika, Mawaziri, na Wabunge wote wanaongea lugha isiyoeleweka kwamba ni KISWAHILI au KIINGEREZA. Ninachokisiakia hapa ni "KISWA-NGLISH". Ni bora Bunge letu lingefanya uamuzi; kama Mjumbe anachangia kwa KISWAHILI basi aongee Kiswahili; na kama anataka kuchangia kwa KIINGEREZA iwe hivyo.
Hii ni uharibifu wa lugha na pia tunawanyima wasiojua lugha zote mbili (Kiswahili/Kiingereza) fursa ya kuelewa kinachozunguzwa Bungeni.