Bunge la Tanzania Linaharibu Lugha ya KISWAHILI na KIINGEREZA

Bonson

Senior Member
Apr 20, 2013
183
147
Ndugu wa JF,

Ninasikiliza kipindi cha Bunge live. Kuanzia Spika, Mawaziri, na Wabunge wote wanaongea lugha isiyoeleweka kwamba ni KISWAHILI au KIINGEREZA. Ninachokisiakia hapa ni "KISWA-NGLISH". Ni bora Bunge letu lingefanya uamuzi; kama Mjumbe anachangia kwa KISWAHILI basi aongee Kiswahili; na kama anataka kuchangia kwa KIINGEREZA iwe hivyo.

Hii ni uharibifu wa lugha na pia tunawanyima wasiojua lugha zote mbili (Kiswahili/Kiingereza) fursa ya kuelewa kinachozunguzwa Bungeni.
 
Nadhani iwe sheria kwamba mijadala yote bungeni ifanyike kwa kiingereza ili vihiyo wote wajiondoe wenyewe!
 
Ama kabla hawajawa wabunge wapewe oral na written interview ya kuandika maneno 500 ya kiswahili ili tuwachuje
 
huo utaratibu ukipitishwa, watabaki wachache sana na vingereza vyao vya small small problems. na ~how did you eat your christmas
 
Ndugu wa JF,

Ninasikiliza kipindi cha Bunge live. Kuanzia Spika, Mawaziri, na Wabunge wote wanaongea lugha isiyoeleweka kwamba ni KISWAHILI au KIINGEREZA. Ninachokisiakia hapa ni "KISWA-NGLISH". Ni bora Bunge letu lingefanya uamuzi; kama Mjumbe anachangia kwa KISWAHILI basi aongee Kiswahili; na kama anataka kuchangia kwa KIINGEREZA iwe hivyo.

Hii ni uharibifu wa lugha na pia tunawanyima wasiojua lugha zote mbili (Kiswahili/Kiingereza) fursa ya kuelewa kinachozunguzwa Bungeni.
Bonson Kama mtu hajui lugha zone mbili haijalishi uongee lugha gani kikamilifu kati ya hizo mbili hatakuelewa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom