Bunge la EAC lavunjika Dar es Salaam

Bunge la EAC lavunjika Dar es Salaam

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana lilivunjika kutokana na kutotimia akidi ya Wajumbe kutoka Rwanda na Burundi. Vikao vya Bunge hilo vinafanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge hilo Dr. Margaret Nantongo Zziwa alilivunja Bunge hilo saa sita mchana wa jana kutokana na kukosekana kwa akidi.

Chanzo: Mwananchi uk. 3
 
Bunge huvunjwa na spika au huairishwa anyway sijui kisheria mwenye mamlaka ya kuvunja bunge la EAC ni nan? But spika hawez vunja bunge huarisha kwan kuvunja n tafsiri nyingine na kuhairisha n tafsiri nyingine hivyo mkuu hapo umechemka au ndo mwendelezo wa propaganda afu mkiambiwa ukweli kwa nia ya kuelimishana mnakuwa wakali....go on limevunjwa
 
Jumuiya ya Afrika mashariki ni ghalama isiyo na msingi, jumuiya ivyonjwe Mpaka hapo baadaye kwa sasa Tumejivuruga
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana lilivunjika kutokana na kutotimia akidi ya Wajumbe kutoka Rwanda na Burundi. Vikao vya Bunge hilo vinafanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge hilo Dr. Margaret Nantongo Zziwa alilivunja Bunge hilo saa sita mchana wa jana kutokana na kukosekana kwa akidi.

Chanzo: Mwananchi uk. 3
 
Bunge huvunjwa na spika au huairishwa anyway sijui kisheria mwenye mamlaka ya kuvunja bunge la EAC ni nan? But spika hawez vunja bunge huarisha kwan kuvunja n tafsiri nyingine na kuhairisha n tafsiri nyingine hivyo mkuu hapo umechemka au ndo mwendelezo wa propaganda afu mkiambiwa ukweli kwa nia ya kuelimishana mnakuwa wakali....go on limevunjwa

Mkuu baro,ukisoma ukurasa tajwa wa Mwananchi,neno 'lavunjika' limetumika. Nimelileta kama lilivyo
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa na uwezo hichi kingekuwa kikao cha mwisho.
 
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana lilivunjika kutokana na kutotimia akidi ya Wajumbe kutoka Rwanda na Burundi. Vikao vya Bunge hilo vinafanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge hilo Dr. Margaret Nantongo Zziwa alilivunja Bunge hilo saa sita mchana wa jana kutokana na kukosekana kwa akidi.

Chanzo: Mwananchi uk. 3
Kuna haja la wamiliki wa jamiiforums kuanzisha jukwaa la watu kujifunza lugha ya kiswahili. Hivi ni kweli kwamba Petro E. mselewa hajui tofauti ya kuahirishwa na kuvunjwa? Hii ni aibu kubwa sana
 
Mkuu baro,ukisoma ukurasa tajwa wa Mwananchi,neno 'lavunjika' limetumika. Nimelileta kama lilivyo

Ni kweli kucopy na kupaste lakini hilo laweza kuwa tatizo la kiundashi na mhariri wa hilo gazeti naamini alipitiwa
Unaposema limevunjwa kisheria n kuwa ,limepisha tukio kubwa kama la uchaguzi na mambo yanayofanana na kimantiki sizani kama huyo spika ana mandate ya kuvunja bunge kama sio kuhairisha.
...
 
Last edited by a moderator:
Kuna haja la wamiliki wa jamiiforums kuanzisha jukwaa la watu kujifunza lugha ya kiswahili. Hivi ni kweli kwamba Petro E. mselewa hajui tofauti ya kuahirishwa na kuvunjwa? Hii ni aibu kubwa sana
Lizaboni uwe unajitahidi kuelewa. Kichwa cha habari nimekileta kama kilivyo. Ndivyo habari za chanzo maalum zinavyoripotiwa. Ulitaka nibadili maneno?
 
Last edited by a moderator:
Miaka yote Arusha ndio makao makuu ya EAC.Kwanini vikao vifanyike Dar? Mji wa Arusha umekuwa kama unatengwa toka wananchi wake wawe na mwamko wa mapinduzi ya kisiasa.Hata matukio ya mabomu kufululiza na kufanya mji kuonekana hauna utulivu inaweza kuwa sehemu ya mkakati.

Haiwezekani kitovu cha utalii Africa badala ya kupatunza na kuweka usalama wa kutosha tunafanya siasa....kwa faida ya nani? Labda tujue Arusha kuna siri gani maana mbona Mbeya,Kawe na Mwanza ambako ni nyeti pia lakini hakuna ujinga wa kiwango hiki?

Ifikie hatua vyombo vyetu vya dola visimamie miongozo yao ya kazi na si maagizo ya wanasiasa yenye mlengo usio na manufaa kwa taifa.:cool2:
 
Mkuu MTAZAMO tunaomba Mungu siku za Kikwete Magogoni zimalizike haraka sana.

Miaka yote Arusha ndio makao makuu ya EAC.Kwanini vikao vifanyike Dar? Mji wa Arusha umekuwa kama unatengwa toka wananchi wake wawe na mwamko wa mapinduzi ya kisiasa.Hata matukio ya mabomu kufululiza na kufanya mji kuonekana hauna utulivu inaweza kuwa sehemu ya mkakati.

Haiwezekani kitovu cha utalii Africa badala ya kupatunza na kuweka usalama wa kutosha tunafanya siasa....kwa faida ya nani? Labda tujue Arusha kuna siri gani maana mbona Mbeya,Kawe na Mwanza ambako ni nyeti pia lakini hakuna ujinga wa kiwango hiki?

Ifikie hatua vyombo vyetu vya dola visimamie miongozo yao ya kazi na si maagizo ya wanasiasa yenye mlengo usio na manufaa kwa taifa.:cool2:
 
Last edited by a moderator:
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana lilivunjika kutokana na kutotimia akidi ya Wajumbe kutoka Rwanda na Burundi. Vikao vya Bunge hilo vinafanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge hilo Dr. Margaret Nantongo Zziwa alilivunja Bunge hilo saa sita mchana wa jana kutokana na kukosekana kwa akidi.

Chanzo: Mwananchi uk. 3

Nakumbuka wabunge wa rwanda waliandaa ajenda ya kumuondoa spika,baadae wabunge wa tanzania wakabaini ni mkakati wa kagame wakaamua kuliweka wazi,na kuondoa sahihi zao katika petition, nafikiri sasa rwanda wamekuja na plan b ya kukwamisha jumuia na kumkwamisha spika kwa kuacha kuhudhuria,ushirika wowote na mtusi ni matatatizo JMAll murutongore
 
Lakini wakae wakijua sisi ndo mabingwa wa siasa za mitaroni na kukamiana soon watapoteana,icheze Tanzania kwenye mambo mengine ila sio siasa na mipango ya kupotezana
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kwa mujibu wa nyepesi nilizozipata,itakumbuka kuwa rwanda walitaka kumuondoa spika kwa hila,tanzania ikabaini,ikaondoa saini kwenye petition,sasa rwanda imeamua kulikwamisha bunge kwa kutohudhuria
 
Kwani taratibu zake zinasemaje kwa wabunge wasiohudhuria? Si wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria na taratibu zake!
 
Lakini wakae wakijua sisi ndo mabingwa wa siasa za mitaroni na kukamiana soon watapoteana,icheze Tanzania kwenye mambo mengine ila sio siasa na mipango ya kupotezana

Tusubiri na majaji kama nao watasusa kuhudhuria,basi jumuia itakuwa inafikia mwisho wake,manake wakuu wa nchi wamenuniana kama wake wenza,wabunge nao kama walivyo watoto wa wake wenza hawasemeshani, JUMUIA YA KWANZA ILIUWAWA KWA SABABU ZA KISIASA,LEO HII HISTORIA INAJIRUDIA,kimsingi shida ya wananchi ni jumuia ya kiuchumi zaidi,ikiwa ya kisiasa mi naona baaaaado kabisa,hata jumuia ya ulaya bado jumuia inawasumbua
 
Back
Top Bottom