Bunge la Algeria limepitisha sheria itayompa mamlaka rais kuingia vitani na Israel

Taifa pekee la kiarabu linaloweza kukohoa dhidi ya israel ni Misri. wengine hao wote ni vipanya tu na hawainyimi israel usingizi kabisa.
Misri na Israel zilikuwa zote zinaongelewa kwa mdomo tu kuwa ni bora, Algeria sio nchi ndogo ni zaidi ya Misri wacha waunge mkono kuwakomesha Mazayuni Israel ambao walikuwa wakisifiwa kuwa na technologia ya kisasa katika vita lakini ajabu toka siku 1 aliomba msaada kutoka US, meli za kivita mbona zilitoka marekani hakuweza ku-deal na Hamas kama munavyowaita kikundi kidogo mpaka leo?
 
Bunge la Algeria limepasisha sheria ambayo inamruhusu Rais wa nchi kama ikilazimu kuingia vitani na utawala ghasibu wa Israel kwa ajili ya kuwatetea wananchi wasio na hatia wa Palestina.

Bunge la Algeria limepasisha sheria hiyo kwa kura za 100% na hivyo kumruhusu rais wa nchi hii kuingia vitani na utawala wa Kizayuni ikibidi kwa minajili ya kuwatetea watu wasio na hatia wa Palestina.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, kufuatia maandamano ya wananchi wa maeneo tofauti duniani ya kupinga jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, wawakilishi wa bunge la Algeria wamemruhusu rasmi rais wa nchi hiyo kuingia vitani na utawala wa Kizayuni ikilazimu kufanya hivyo.

Hii ina maana kwamba, wakati wowote Rais wa Algeria atakapoona kuwa, ili kuwatetea wa Palestina kuna ulazimika wa kuingia vitani na Israel basi anaweza kutangaza vita dhidi ya utawala huo wa kibaguzi.

Zoezi la upigaji kura lilitawaliwa na nara na kaulimbiu ndefu wa kuwaunga mkono wananchi wa palestina na makkundi ya mapambano ya Palestina.

View attachment 2806081
hawa ndo wanaume sasa
 
Miarabu ina sura mbaya angalia huyo rais wao kushoto ana bichwa kuubwa utadhani tikiti. Na hilo jimwanamke utadhani likatuni lingevaa tu hijab. Yafe tu yote.
1699282329299.jpg

Accumen Mo adriz darcity
 
Misri na Israel zilikuwa zote zinaongelewa kwa mdomo tu kuwa ni bora, Algeria sio nchi ndogo ni zaidi ya Misri wacha waunge mkono kuwakomesha Mazayuni Israel ambao walikuwa wakisifiwa kuwa na technologia ya kisasa katika vita lakini ajabu toka siku 1 aliomba msaada kutoka US, meli za kivita mbona zilitoka marekani hakuweza ku-deal na Hamas kama munavyowaita kikundi kidogo mpaka leo?
Zaidi ya nusu ya raia wa Israel wana passports ya marekani. Hupo hapo mkuu?

Nyau wewe
 
Bunge la Algeria limepasisha sheria ambayo inamruhusu Rais wa nchi kama ikilazimu kuingia vitani na utawala ghasibu wa Israel kwa ajili ya kuwatetea wananchi wasio na hatia wa Palestina.

Bunge la Algeria limepasisha sheria hiyo kwa kura za 100% na hivyo kumruhusu rais wa nchi hii kuingia vitani na utawala wa Kizayuni ikibidi kwa minajili ya kuwatetea watu wasio na hatia wa Palestina.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, kufuatia maandamano ya wananchi wa maeneo tofauti duniani ya kupinga jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, wawakilishi wa bunge la Algeria wamemruhusu rasmi rais wa nchi hiyo kuingia vitani na utawala wa Kizayuni ikilazimu kufanya hivyo.

Hii ina maana kwamba, wakati wowote Rais wa Algeria atakapoona kuwa, ili kuwatetea wa Palestina kuna ulazimika wa kuingia vitani na Israel basi anaweza kutangaza vita dhidi ya utawala huo wa kibaguzi.

Zoezi la upigaji kura lilitawaliwa na nara na kaulimbiu ndefu wa kuwaunga mkono wananchi wa palestina na makkundi ya mapambano ya Palestina.

View attachment 2806081
Tatizo Algeria haipakani na Israel.
 
Misri na Israel zilikuwa zote zinaongelewa kwa mdomo tu kuwa ni bora, Algeria sio nchi ndogo ni zaidi ya Misri wacha waunge mkono kuwakomesha Mazayuni Israel ambao walikuwa wakisifiwa kuwa na technologia ya kisasa katika vita lakini ajabu toka siku 1 aliomba msaada kutoka US, meli za kivita mbona zilitoka marekani hakuweza ku-deal na Hamas kama munavyowaita kikundi kidogo mpaka leo?
kutokea algeria, watapitia wapi? kwamba watapita kwenye anga la misri kwa ndege za kivita kwenda kushambulia israel? wana vessle majini ya kutumia? au watakuja kwa vifaru vya ardhini? wataingilia wapi? na je? israel kwa uwezo wake, hana uwezo kuruka na ndege kwenda kupiga algeria? hana uwezo kurusha makombora tokea palepale israel kupiga algeria? na je? algeria ana silaha kali na za kisasa kiasi gani? walishawahi kugundua silaha yeyote au zote wamezinunua au kupewa na ufarasa ambaye anaipendelea Israel? never will algeria get any power to defeat israel.
 
Blah blah ya Arabs countries, why wanaongea mno badala to put a boot on the ground?,IDF has split Gaza in two,na sasa wanaingia Gaza city, Iran bado wanalalama pembeni
Huyo Iran mnayembeza ndiye aliyempa tension IDF na USA kuweka meli vita nyingi ghuba ya Mediterranean.
Gaza imegawanywa kwa maneno ila vita bado mbichi.
 
Misri na Israel zilikuwa zote zinaongelewa kwa mdomo tu kuwa ni bora, Algeria sio nchi ndogo ni zaidi ya Misri wacha waunge mkono kuwakomesha Mazayuni Israel ambao walikuwa wakisifiwa kuwa na technologia ya kisasa katika vita lakini ajabu toka siku 1 aliomba msaada kutoka US, meli za kivita mbona zilitoka marekani hakuweza ku-deal na Hamas kama munavyowaita kikundi kidogo mpaka leo?
Ameshasahau kama hao Algeria wamepata uhuru kwa mtutu wa bunduki kwa kumtwanga France.
Pia kijiografia sidhani kama hizo ndege zitafika Algeria zikiwa hazijaishiwa mafuta .
 
wewe ndo muongo kwamba ili kuiokoa syria , rais wa misri ndo anawajibika ? kuwa serious asee hapa hakuna watoto , Misri alisaini mikataba yake yeye na sio mikataba ya kuiokoa Syria
KUMBE WE HUJUI KITU.
NANI KIONGOZI WA EAC??
HI I TANZANIA HAWEZI KU ACT KWA NIABA YA EAC??
LABDA NIKUFUNDISHE KITU.
ARAB LEAGUE KIPINDI KILE ILIKUA IKIONGOZWA NA MISRI NA MIKUTANO MINGI YA ARAB LEAGUE MPAKA SASA INAFANYIKA MISRI CAIRO.
NDIO MAANA ANWAR SADAT PAMOJA NA MATAIFA MENGINE ALIITA KIKAO NA KUUKUBALI MKATABA WA CAMP DAVID NA MASHARTI YAKE KWA NIABA YA ARAB LEAGUE KIJANA.
MISRI NDIO POLITICAL FIGURE YA ARAB LEAGUE.
JE UMEJIULIZA KWANINI KING ABDULLAH WA JORDAN ALIPOKATAA KUKUTANA NA BLINKEN AKAKUBALI BAADA YA KUSHAWISHIWA NA ABDUL FATAH ELSISI???
 
wewe ndo muongo kwamba ili kuiokoa syria , rais wa misri ndo anawajibika ? kuwa serious asee hapa hakuna watoto , Misri alisaini mikataba yake yeye na sio mikataba ya kuiokoa Syria
Kwa kukuongezea tu,linapotokea tatizo mataifa ya kiarabu je ni mataifa Gani hufatwa kama sio taifa la kwanza Egypt ikifuatiwa na Qatar??
Kwanini mkutano wa Arab peace summit October ulifanyika Egypt ukiongozwa na Abdulfatah Elsisi baada ya shambulio la October 7?????
YOU DON'T KNOW HOW GEOPOLITICS WORK.
 
Wewe ndio unapotosha kwa kuandika uongo. Kama waarabu wangeshinda vita vya 1967 na 1973 Israel isingekuwepo leo na hata mkataba wa Camp David usingekuwepo na Syria asingeporwa Golan Heights.

Waarabu hawana ubavu wa kupambana na Israel na ndio maana leo unaona wapalestina wanakula jeuri yao huku waarabu na mataifa yote ya kiislamu wakiwa watazamaji.
UNACHEKESHA WEWE.
KWANI MOTIVE YA 1973 OCTOBER WAR ILIKUWA NINI??
GOLLAN HEIGHTS ILIPORWA TOKA MWAKA GANI??
MBONA UNAJICHANGANYA??
1973 ANWAR SADAT ALIANZISHA VITA DHIDI YA ISRAEL KWAAJILI YA KUIREJESHA SINAI KIJANA.
NA FEBRUARY 1974 SINAI ILIKUA ISHARUDI EGYPT.
1967 FEBRUARY 5-10 IDF HAIKUFANYA CONFRONTATION YOYOTE ILILIPUA MAGHALA YA SILAHA YA MISRI NA KUIFANYIA GOLLAN HEIGHTS ANNEXATION ILI KUTANUA WIGO MPANA WA USALAMA WAKE.
ALICHOFANYA MISRI 1973 NI KAMA ALICHOFANYA HIZBOLLAH 2006 KUIRUDISHA BINT JUBEIR LEBANON BAADA YA KUPOKONYWA NA ISRAEL.
WHAT WAS THE MOTIVE OF THE WAR?????
EMBU JIJIBU HILO SWALI
 
Huyo Iran mnayembeza ndiye aliyempa tension IDF na USA kuweka meli vita nyingi ghuba ya Mediterranean.
Gaza imegawanywa kwa maneno ila vita bado mbichi.
Hizi ni blah blah, weka boots on the battlefield sio blah blah
 
Wewe ndio unapotosha kwa kuandika uongo. Kama waarabu wangeshinda vita vya 1967 na 1973 Israel isingekuwepo leo na hata mkataba wa Camp David usingekuwepo na Syria asingeporwa Golan Heights.

Waarabu hawana ubavu wa kupambana na Israel na ndio maana leo unaona wapalestina wanakula jeuri yao huku waarabu na mataifa yote ya kiislamu wakiwa watazamaji.

View: https://youtu.be/hitaLwUJGjo?si=bzYqdwniji3IEGJs

View: https://youtu.be/jhlZbHxp-9A?si=A_TMnYxY-QkA_JjX

UNAJUA SABABU ZA GOLDA MEIR KUACHIA MADARAKA KAMA WAZIRI MKUU WA ISRAEL???
 
Ndiye aliyewaponda ponda waandamanaji kwa vifaru zaidi kuliko alichofanya China Tianamen Square na wala hakulaumiwa na watu wa magharibi.
Na ndiyo aliyepewa fitna ya kumpindua Muhammed Morsi aliyeshinda uchaguzi na kutawala karibu miaka miwili.Angebaki madarakani Morsi Palestina ingekwishakombolewa na kusingetokea vita vya Gaza.
Nchi nyengine zipige kura kama ya Aljeria na kila mmoja akipiga padogo litakuwa pigo kubwa.Kumbuka mfadhili wa Israel ni Marekani naye yuko hoi.Hana namna ya kuja juu kiuchumi na kuendelea kuiunga mkono Israel kwa siku zijazo.

Ndoto za alinacha
 
Back
Top Bottom