Misri na Israel zilikuwa zote zinaongelewa kwa mdomo tu kuwa ni bora, Algeria sio nchi ndogo ni zaidi ya Misri wacha waunge mkono kuwakomesha Mazayuni Israel ambao walikuwa wakisifiwa kuwa na technologia ya kisasa katika vita lakini ajabu toka siku 1 aliomba msaada kutoka US, meli za kivita mbona zilitoka marekani hakuweza ku-deal na Hamas kama munavyowaita kikundi kidogo mpaka leo?Taifa pekee la kiarabu linaloweza kukohoa dhidi ya israel ni Misri. wengine hao wote ni vipanya tu na hawainyimi israel usingizi kabisa.