political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,802
- 5,788
Bunge la Algeria limepasisha sheria ambayo inamruhusu Rais wa nchi kama ikilazimu kuingia vitani na utawala ghasibu wa Israel kwa ajili ya kuwatetea wananchi wasio na hatia wa Palestina.
Bunge la Algeria limepasisha sheria hiyo kwa kura za 100% na hivyo kumruhusu rais wa nchi hii kuingia vitani na utawala wa Kizayuni ikibidi kwa minajili ya kuwatetea watu wasio na hatia wa Palestina.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, kufuatia maandamano ya wananchi wa maeneo tofauti duniani ya kupinga jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, wawakilishi wa bunge la Algeria wamemruhusu rasmi rais wa nchi hiyo kuingia vitani na utawala wa Kizayuni ikilazimu kufanya hivyo.
Hii ina maana kwamba, wakati wowote Rais wa Algeria atakapoona kuwa, ili kuwatetea wa Palestina kuna ulazimika wa kuingia vitani na Israel basi anaweza kutangaza vita dhidi ya utawala huo wa kibaguzi.
Zoezi la upigaji kura lilitawaliwa na nara na kaulimbiu ndefu wa kuwaunga mkono wananchi wa palestina na makkundi ya mapambano ya Palestina.