Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

Mkuu Kiranga ningetaja vipi NCCR-Mageuzi, ama CUF ama CHADEMA ilhali naijadili CCM?

Hapo ndipo sikuelewi.

Dereva kashindwa kuendesha gari, kalewa, kalala kwenye usukani. Gari linaelekea kubaya.

Badala ya kuzungumza kati ya abiria vinara nani anaweza kuchukua usukani, wewe unakalia kumlaumu dereva?
 
Mimi Kama mtu mwenye uzoefu wa kufuatilia mambo serikalini na jinsi serikali hii ilivyozoea kuzima mijadala moto dhidi yake, nataka niwahakikishie kwamba Bunge litaoneshwa kama kawaida wala msipotoshwe. Kinachofanyika ni kuzima na kupoteza kabisa mjadala wa hatari wa kuchinjwa kwa mchungaji na waislamu huku serikali haina majibu ya aina yo yote kuhusu nani mwenye haki ya kuchinja. Na watanzani tulivyo watu wa ajabu tayari tumeshasahau geita tunashughulika na Kashililah anayetupotezea mjadala muhimu. Kwa taarifa yenu serikali hii haina majibu ya kuwapa wakristo na waislamu kwa sababu inataka kuwafurahisha wote na haiwezi. Imeishia kuwahonga baadhi ya wachungaji watoe kauli kukubaliana waislamu kuchinja.

Jambo jingine ambalo linazidi kuthibitisha hii hoja yangu ni kwamba mimi kama mwanahabari nimeona kuna jitihada kubwa sana ya kuzima habari za Geita katika vyombo vingi vya habari kuanzia magazeti, Tv na raidio. Habari zinatolewa kidogo kidogo sana tena kwa maelekezo yanayotoka kwa wahariri ambao wameshabanwa sana ila sijui kwa maslahi ya nani. Hata habari za tarehe ya mazishi watu wengi hawajui, kutimuliwa kwa waziri msibani tunajuzwa na JF tu.

Asubuhi hii nilikuwa nawasilikiliza afisa habari wa Bunge na mkuu wa idara ya Elimu kwa umma wa Bunge kupitia star tv ambao wamekuja na hoja kwamba bunge tunarekodi kwa kutumia chombo kimoja halafu tunarusha kwenye TV zote na siyo lazima TBC peke yake. Ukisikiliza kwa makini utaona kwamba ile hoja ya awali ya kwamba watarekodi na kuedit then kuirusha hawakuiwekea msisitizo.
Ifahamike, haiwezekani kutoonesha Bunge live kwa sababu wabunge wengi wa ccm, wapinzani na baadhi ya mawaziri wanataka Bunge lioneshwe Live. Mbona hamtaki kugundua jambo dogo namna hii great thinkers wa JF. Mjadala huu ni wa kupoteza hasira za wakristo waliooumizwa na kifo cha mchungaji wao.

Na kwa taarifa yenu, hakuna waislamu wanaotaka kuandamana kwa ajili ya kutaka kumtoa shekh Ponda, hiyo ni habari iliyopenyezwa katika vyombo vya habari ili kuonesha kwamba waislam nao wa malalamiko dhidi ya serikali kama wakristo na sakata la Geita. Maadamano hayo yanaratibiwa kwa siri na usalama kuzima hoja ya Geita - msidanganyike kirahisi namna hiyo.

Je, mmesahau kwamba Babu wa Lolionda alitangazwa sana kwa ajili ya kuzima moto wa Katiba mpya?

Wait you will prove right with time.

Swali langu ni kwamba serikali itazima mjadala wa kuchinja wanyama ktk mabucha ya umma mpaka lini?
 
Kila jambo wanalo lifanya magamba hudhania wamepiga bao la kisigino kumbe ndiyo wanazidi kujididimiza wenyewe.Mwananchi wa kawaida atakapo ulizwa kwa nini Bunge halionyeshwi hapana shaka atajibu "magamba hawataki tuone wanavyo sinzia Bungeni na kuchangia pumba katika hoja za msingi".
Magamba hakuna kitu mtafanya kikawaokoa ninyi ni wa kufa tu..ni suala la muda tu.
 
inawezekanamkuu ngoja tuamke kesho tutajua ya maandamano yanakwendaje
 
kurusha matangazo ya fiesta na matangazo ya miss tanzania na vijongoji vyake au big brother Africa na thamtilia nyinginezo za kipumbavu si kupotosha/kuharibu jamii bali ni kuelimisha jamii. Ila kurusha matangazo ya bunge letu tunaloliita tukufu ambalo ni mwakilishi wa wanachi za idi ya milioni 44 ni kupotosha jamii dah! Haiingii akili .Na wengine wanakuja na sera eti haturushi matangazo live sababu wanachi hawana muda wa kuangalia sijui ni akili ake au niakili ya kushikishwa?nani kakuambia hatuna huo mda? Nakama nikweli unamwakilisha mwananchi aliekupigia kura ni kwanini ufanye siri? Au ni kwasababu mnalala sana bungeni? Mnaogopa msionwe na wajukuu zenu? Ni kweli Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari?
 
"Kwanza mikamera Yao haina adabu"

"Mtu usifumbe macho kidogo kosa wameshakunanihii tayari."

"wakati Mwingine sisi tunakuwa na Kazi nzito usiku Za kiufundi kuiokoa serikali (KUROGA) sasa lazima kikaoni AMA tutoroke au tuchape usingizi, hizi kamera zao bwana.. Ziondolewe watu tuwe free"

" mie wife kancheki kupitia runinga kikaoni simo, Basi akapiga cm, nikamwambia shortly niko Kwenye neshno asembuli, akamaka mbona sikuoni .. Ah nikastuka kumbe iko live.. Nikahang-ova, Basi moto wake niliporudi hausemeki.. Hii kitu iondolewe itanvunjia ndoa Na Mwadawa nae hataki kuniachia.!!"

"Hawa CHADEMA hawalali, kutwa kucha wanafukunyua fukunyua serikali, Sifa tu, wanatupelekesha speed ya 180, aisee mie Ubunge siutaki Tena, Hela tam tunaipenda lakini Aibu ya kuumbuliwa inadumu maisha!!i.."

"one day nikiwa jimboni kwangu, nilipoamka nikawaona all my family members wako sitting wanaangalia kikao Cha Bunge including my wife, Basi wakisimana hawa Watoto wadogowadogo Wa Chadema familia inawashangilia Kama mpira vile .. Nikawa shocked.. Mchana nikamwita Fundi akorofoshoe Dishi hadi kikao kiishe"

"mie wife aliniona naandika MSG, Ghafla nae akantumia MSG kuniuliza namwandikia nani , nakamjibu faster PM, Kumbe PM siku hiyo hakuwepo kikaoni, Basi wife akampigia cm Na asivyo Na haya kamwambia eti mweshimiwa kakutumia MSG umeipata, jamaa nae kajibu no, aisee huko hom hakukaliki mpaka niseme MSG nilikuwa yaenda wapi..'

"watu wanamwaga Siri zetu nje, wanadiriki kuweka open awa salari Na marupurupu, ona sasa hawa wadada nao wanapandisha bei Za huduma zao kisa wamesikia tumepandishiwa posho'

"Wasiponiona kikaoni Basi Nyumba ndogo zote Za hapa DDM, Zinapiga cm Kwa mashambulizi, Mara hani sikuoni bungeni Kama uko mahali nambie nije, mwingine dia uko wapi mbona sikuoni, Mwingine Dia mbona sijuoni au Unamwogopa Lisu Nini!! Kisha anacheka He Hee!! Wanaudhi kweli , ziondolewe kabisa hizi makamera"

Embu weka nawe "msababu wa nguvu" hapa..!!
 
Ni sababu nzito hizi kumbe,je hizi sababu zinaoana na za Kamanda Nape Nnauye?
 
Hapo ndipo sikuelewi.

Dereva kashindwa kuendesha gari, kalewa, kalala kwenye usukani. Gari linaelekea kubaya.

Badala ya kuzungumza kati ya abiria vinara nani anaweza kuchukua usukani, wewe unakalia kumlaumu dereva?

Kiranga bana...mie pia sikuelewi. Tumekuwa wawili hatuelewani
 
Mie sijakuelewa na nikaeleza kwa nini sijakuelewa, mpaka na mfano nikatoa.

Wewe hujanielewa umeshindwa hata kunielewesha hujanielewa wapi.

That's the difference between you and I.
 
ndio hapo sasa, maelezo yako yaliyokolezwa na mfano bado yaliniacha kapa, sijaelewa chochote so far. Pengine unatumia filosofia ngumu mkuu Kiranga
 
Kwa nini unawazungumzia CCM tu ilhali nchi imejaa watu waso CCM?
 
mkuu Kiranga swali hilo nililijibu kitambo, labda kama unapenda nitanue wigo wa mjadala ili nizungumzie wengine pia, lakini kwa mujibu wa hoja niliyoandika awali nilizungumzia CCM kulingana na muktadha halisia...nisichoelewa ni kwa nini unilazimishe nizungumzie watoto wakati namzungumzia baba pekee? laiti ningekuwa nazungumzia familia nzima halafu nikamzungumzia baba pekee ungekuwa na uhalali kuhoji iweje nisimzungumzie mama na watoto wa familia husika baada ya kumzungumzia baba?

Hata hivyo, kwa nini wewe usizungumzie vyama vingine pia, ama furaha yako ni kuona mimi pekee navizungumzia? Istoshe hitimisho lako la awali lililobeba swali ati "wewe chadema?" sikuelewa linakusudia nini baada ya mimi kuzungumzia CCM, ama ndio kusema wana wa CCM hawaruhusiwi kuisema "vibaya" CCM?

Mkuu Kiranga, nitaendelea kusema sikuelewi ama kiunadhifu niseme sielewi mantiki ya hoja yako/zako kunilazimisha niongelee vyama/watu wengine zaidi ya CCM...ama mwenzetu tayari umeishaiua CCM hivyo unaogopa kuiongelea? lakini kwa mila na tamaduni za Kitanzania, ni jambo la kawaida kuwazungumzia wafu pia, maana ni namna moja ya kukumbuka mchango wa maisha yao kwetu.

Alamsiki
 
Kulinganisha CCM na baba na wapinzani kama watoto ni kuwatusi wapinzani.

Kama shida yako ni kutafuta ufumbuzi wa matatizo utautafuta popote, nje na ndani ya CCM.

Kama shida yako ni kupiga soga lililojaa lawama bila kutafuta ufumbuzi, endelea kuwasema CCM. They are the ruling party, it comes with their territory.
 
umefanya vema kuhitimisha
 
Back
Top Bottom