Bunge kujadili matukio ya uhalifu linaingilia muhimili mwingine?

Huyo ni Old School na alishafika bei ....kwa ufupi ni kwamba ameshazeeka na kufulia katika kuwasilisha mawaza na makala zenye hoja za kizazi kipya
Una matatizo weye! Hebu niambie ndani ya Cabinet nani wana uwezo wa kumfikia Ulimwengu katika uelewa na ukweli?
Mle wamejaa wanafiki na wasiojitambua
 
Hivi bunge linapojikita katika kujadili matukio ya uhalifu ambayo yanafanyiwa uchunguzi halijiingizi kwenye kazi za muhimili mwingine yaani Muhimili wa EXECUTIVE?

Inapotokea hivi ni nani anapaswa kuingilia kati?
Umri wako tafadhali
 
In the left side of your brain there is nothing RIGHT, and in the right side of your brain there is nothing LEFT
 
Huyo ni Old School na alishafika bei ....kwa ufupi ni kwamba ameshazeeka na kufulia katika kuwasilisha mawaza na makala zenye hoja za kizazi kipya

Wewe ni kijana lakini mpumbavu bora huyo mzee mwerevu,kizazi kipya ni kipi hicho au cha bashite na mbwa wenzake
 
Wewe ndio katoto cha juzi haswa...by the time werema anaongea hayo kulikuwa hakuna kesi mahakamani?
Je swala la escrow lilianza kuongelewa lini?na hatua zilianza kuchukuliwa lini?

SWALI:Kwa uelewa wako sakata la escrow lilianza lini na lilianzia wapi?

Wewe ni kichaa tangu lini jeshi la polisi nalo likawa mhimili, unajua kazi za bunge wewe kilaza au umeshikwa ubongo na sisonje
 
Hivi bunge linapojikita katika kujadili matukio ya uhalifu ambayo yanafanyiwa uchunguzi halijiingizi kwenye kazi za muhimili mwingine yaani Muhimili wa EXECUTIVE?

Inapotokea hivi ni nani anapaswa kuingilia kati?
Ni kujadili sio kuamuru wala kutoa maamuzi
 
Mihimili yote ya dola ina jukumu la msingi la kuhakikisha usalama na ustawi wa wananchi na taifa kwa ujumla.
Hakuna kinachoitwa kuingiliana inapotokea kuna haki za msingi za raia zinakosekana au kukandamizwa wakati mhimili husika hautendi kwa ufanisi unaotegemewa. Kusaidiana kwa mihimili ndicho kiini cha mfumo wenyewe (maintaining a system of checks and balances).
Watu wenye nia ovu hutoa tafsiri potofu na kulazimisha zitumike kwa kutumia nguvu ya madaraka yao ili kutimiza malengo yao.
 
Hivi bunge linapojikita katika kujadili matukio ya uhalifu ambayo yanafanyiwa uchunguzi halijiingizi kwenye kazi za muhimili mwingine yaani Muhimili wa EXECUTIVE?

Inapotokea hivi ni nani anapaswa kuingilia kati?
Najua Ujinga unakusumbua! Kazi Kuu ya Bunge Ni Nini? KUISIMAMIA SERIKALI(ambao ni Muhimili Mwingine)!
 
Back
Top Bottom