Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,889
- 71,410
Una matatizo weye! Hebu niambie ndani ya Cabinet nani wana uwezo wa kumfikia Ulimwengu katika uelewa na ukweli?Huyo ni Old School na alishafika bei ....kwa ufupi ni kwamba ameshazeeka na kufulia katika kuwasilisha mawaza na makala zenye hoja za kizazi kipya
Mle wamejaa wanafiki na wasiojitambua