Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Wanabodi,
Uchaguzi umeisha, pamoja na kuukosa urais kwa mgombea wa Chadema kwa sababu zozote zile ikiwa ni pamoja na uchakachuaji, lazima tukubali, Chadema inastahili pongezi, na imetingisha kiukweli kweli na sio kutikisa tuu kama walivyodai.
Kutoka viti 4 vya kuchaguliwa bunge lililopita, mpaka viti zaidi ya 20, ni ongezeko la asilimia zaidi ya 500%, huku ni kupaa wakati CCM imeporomoka kwa asilimia kadhaa!.
Wakati mshindi atatangazwa leo, na hakuna ubishi ni mgombea wa CCM, wana CCM wote wenye akili timamu, japo watafurahia ushindi wao, lakini kimoyomoyo, wanajua kwa dhati, ndani ya mioyo yao, Chadema sio chama cha kubezwa ila kama kawaida, mataahira wasio na uelewa wa kweli wa mambo, hawatakosena kuibeza Chadema!.
the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks
Aongelewe nn wakati ameshakuwa zilipendwa!!Hivi vyama vilivyosimamisha wagombea Urais ni viwili tu? Mbona hatuongelei na akina Prof. Lipumba?
the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks
Mhh, hesabu gani hizo za asilimia 500, wakati ni ongezeko 4-20 + against 239-(4 +), be careful. thanks
duuh! Nyie Manambalistics ni noma kumbe enh! Ebanae kuishi Ungwinini nako ni upofu! Dah! Shukraa!Sina shaka una mswaki (F) wa hesabu ndiyo maana mnashindwa kuchakachua bila kujulikana. UKiwa na maembe manne, ukaongezewa manne ni sawa na ongezeko la asilimia ngapi? Kama siyo 100%? Kama asilimia ni shida basi tumia folds na utaona ni ongezeko la 5 folds (au mara tano zaidi)!
CHADEMA has enjoyed an increase of 20/4 * 100 = 500%
the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks
the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks
Hivi vyama vilivyosimamisha wagombea Urais ni viwili tu? Mbona hatuongelei na akina Prof. Lipumba?
Pasco tena ushindi huo wa 500% zingatia umekamata majimbo yenye hadhi kama - Ubungo, Kawe, Ilemela, Nyamagana, Arusha Mjini, Mbeya Mjini, Moshi Mjini - hii inaonyesha kuwa CCM hawakubaliki katika sehemu za mijini ambapo watu wana elimu ya uraia.
JK ataapishwa lakini akumbuke kuwa wananchi zaidi ya 60% toka Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya, Moshi na Iringa HAWAMTAKI yeye pamoja na chama chake.
Hii ni challenge kubwa sana kwa CCM hii miaka 5 ijayo. Pongezi zetu za dhati kwa DR. Slaa kwa kazi kubwa sana aliyoifanya akishirikiana na chama chake kwa Ujumla.
Wanabodi,
Uchaguzi umeisha, pamoja na kuukosa urais kwa mgombea wa Chadema kwa sababu zozote zile ikiwa ni pamoja na uchakachuaji, lazima tukubali, Chadema inastahili pongezi, na imetingisha kiukweli kweli na sio kutikisa tuu kama walivyodai.
Kutoka viti 4 vya kuchaguliwa bunge lililopita, mpaka viti zaidi ya 20, ni ongezeko la asilimia zaidi ya 500%, huku ni kupaa wakati CCM imeporomoka kwa asilimia kadhaa!.
Wakati mshindi atatangazwa leo, na hakuna ubishi ni mgombea wa CCM, wana CCM wote wenye akili timamu, japo watafurahia ushindi wao, lakini kimoyomoyo, wanajua kwa dhati, ndani ya mioyo yao, Chadema sio chama cha kubezwa ila kama kawaida, mataahira wasio na uelewa wa kweli wa mambo, hawatakosena kuibeza Chadema!.
Hawa vilaza wa chama tawala hawa wana matatizo sana!! Si bora ukae kimya badala ya kujiabisha hapa?? Au ndiyo nyie wa elimu ya chini ya mwembe na umepiga kura yako kwa ajili ya kofia na T-shirt!!
huyu jamaa asikupe shida,
tatizo lake ni moja nalo ni kwamba alichelewa kulia wakati anazaliwa