bunge comedy show

bunge comedy show

mpigilie

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
310
Reaction score
136
Mh speaker awali ya yote napenda kutoa pongezi za dhati kwa mke wangu mpendwa,leo amepika chai tamu sana
Napenda kumpongeza mtoto wangu wa kike kwani mpaka mda huu hajapata boifrendi wala mimba
Vilevile nimshukuru hausigeli wangu kwa kazi nzuri anazozifanya nyumbani espeshali wakati mke wangu akiwa safarini
Pongezi za mwisho lakini kwa umuhimu wa pekee ziende kwa kijana wangu ambaye mara nyingi amenifumania na vimada lakini hajawahi hata siku moja kumwambia mama yake
 
Zaidi nitoe pongezi kwa Mke wangu kwa mauno anayonipa usiku na mchana, Mama Kundecha upo Juu
 
Back
Top Bottom