Bunduki ya Nassari yachunguzwa

Hapa Nassari ana kesi ya kujibu.maganda ya risasi yote ya bunduki yake na za majambazi hata ganda moja halijapatikana eneo LA tukio.Kitu ambacho si cha kawaida.Maganda yangeonekana polisi wangeyapata
Wanafikiri porojo zao humu zitazuia uchunguzi kuendelea!safari hii imekula kwenu!
 
WAO WALIPIGA RISASI 12 ...HIVI MTU UKIVAMIWA UNAWEZA KUKUMBUKA KUHESABU IDADI YA RISASI ZINAZOPIGWA?

Halafu baada ya Risasi 12 kupigwa Eti akaenda kuwaamsha Vijana anaokaa nao hapo kwake, Labda Risasi za Majambazi zilikuwa hazina mlio ndio sababu wale vijana ilibidi wakaamshwe na Nasari Mwenyewe badala ya kuamshwa na Milionya Risasi 12 zilizorushwa
 
Wameichukua.ili watakaporudi asiwajibu kwa kuwa hatakuwa na silaha yoyote ile
 
Hapa Nassari ana kesi ya kujibu.maganda ya risasi yote ya bunduki yake na za majambazi hata ganda moja halijapatikana eneo LA tukio.Kitu ambacho si cha kawaida.Maganda yangeonekana polisi wangeyapata
Si ndiyo ugumu unaanzia hapo. Hata majirani inasemekana hawakusikia hiko kishindo cha mvua ya risasi. Mbwa naye kazikwa kabla ya kufanyiwa postmortum na madaktari wa vet. kubaini kilicho muondoa duniani.

Sababu za kunyang'anywa kumiliki bastora hajaisema. Sasa kama alizuiwa kumiliki siraha nyepesi kama pistol, aliruhusiwaje kumiliki siraha nzito zaidi kama ya aina ya shotgun/rifle?

Nassari anamiliki vifaa vya kisasa vya kielectronic venye kamera za kurekodi watoa rushwa hadi ndani ya ofisi za wakuu wa wilaya bila ya wao kutambua kuwa wanarekodiwa. Vifaa hivi alisema alivitoa majuu alikokwenda kusoma. Sasa atakosaje kuwa na vifaa vya kielectronic angalao za aina ya HD cctv cameras nyumbani kwake za kurekodi matukio ya uvamizi kama haya?

Jee ni kwa nini Nassari hakwenda kutoa ripoti police tukio hilo na kupata RB kama ambavyo sheria inavyoelekeza? Badala yake yeye alitumia mitandao ya jamii kutoa taarifa hiyo ya kunyeshewa mvua ya risasi iliyofanywa na watu wasiojulikana kama ambavyo TL alivyofanyiwa. Does this make sense to any sane person realy? Mbona anafanya mambo ya kitoto sana namna hii? Au tunafanya makosa kuwapa nafasi kama za ubunge vijana ambao wako under 30 years of age kwani wanakuwa bado ni watoto wanaohitaji malezi?

Historia ya Lema inajulikana sana polisi kabla ya kuukumba uheshiwa kama mbunge. Jee ni kweli kwamba ushiriki wake kwenye tukio hili umeanzia kwenye maziko ya huyo mbwa ambayo wengine wanasema yalikuwa ya kitaifa?
 
Hapa Nassari ana kesi ya kujibu.maganda ya risasi yote ya bunduki yake na za majambazi hata ganda moja halijapatikana eneo LA tukio.Kitu ambacho si cha kawaida.Maganda yangeonekana polisi wangeyapata
Wewe lazima unachezewa sehemu za nyuma, mbona huelewi?
 
Je kama hizo risasi alizozipiga hewani moja ilipiga inpossible turndown na ikamdondokea mbwa wake je?
 
Tuanze na hili, yale maganda ya risasi yaliookotwa crime scene ni ya siraha gani?

Hizi drama za nchi hii zinaboaaa!!
Hawawezi kuyaokota watasema mbwa waliokufa wangeweza kuisaidia polisi kwenye uchunguzi
 
Inaonekana amemuua mbwa wake mwenyewe kwa kitete au kutengeneza kik
 
Inaonekana amemuua mbwa wake mwenyewe kwa kitete au kutengeneza kik
 
Back
Top Bottom