Bunduki inafanyaje kazi?

Nilishajiandaa kushusha nondo zangu, daaah kumbe sio bunduki ninayoijua mie!
 
unapoanza zungumzia mechanism ya bunduki kirahic rahis Mimi sikuelewi ,Inapofikia mtu kutaka kujua matumizi na namba ya ifanyavyo kazi silaha inabidi MTU huyo achunguzwe kwanza Natoa tahadhari kwa mtu yeyote atayeeleza kuhusu wazi silaha ifanyavyo kazi . Ninaujuzi WA silaha za kivita WA kutosha ila siwazi zungumzia hili
 
shukrani mkuu, inamaana kumbe gunpowde huwa ndani ya risasi?
 


mkuu hilo jeshi la TPF lipo hapa tanzania? au anamaanisha TPDF
 
,we Bado haujaivaa kama unamfundisha jambazi jeee


Ndio maana sijaelezea kiundani zaidi,,, na pia kama huko JKT wanafundishwa tena watu wengi waliopitia hayo mafunzo na asilimia 99 hawajaajiriwa kwenye jeshi lolote hiyo inaonesha ni lengo la serikari kawanya wananchi wake wajue kutumia hizi silaha
 
Nilikusoma ndugu, ila sikukujibu. I love guns for hunting na sio for personal protection.

Ila ushauri nenda kwenye shooting training kwanza. Tembelea duka la silaha (tanganyika armies ama mzinga morogoro), wagakupa maelezo mafupi. Then watakuelekeza wapi pa kufunzwa.

Narudia, siamini kwenye kutumia silaha kujilinda.
King'asti mbona sikuoni huku?
 
Last edited by a moderator:

na Arusha lipo duka mkuu
 
we utakua mjeda mkuu... ebu tiririka maana unaona hali ya Amboni Tanga si shwari sana

Mm sio mjeda mkuu ila hvi vitu navijua vzr. Mkuu bunduki haina ugumu kuitumia ww unatakiwa kucheza na self(usalama),cocking handle, na trigger, na nguvu za mikono jinsi ya kuimiliki kwasababu mtoko Wa risas unamtikiso.
 
Mm sio mjeda mkuu ila hvi vitu navijua vzr. Mkuu bunduki haina ugumu kuitumia ww unatakiwa kucheza na self(usalama),cocking handle, na trigger, na nguvu za mikono jinsi ya kuimiliki kwasababu mtoko Wa risas unamtikiso.

i know them too more than u can imagine.. but i hate them mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…