Ustaadha !! genious....[video=youtube_share;uT_B1HoaR_E]http://youtu.be/uT_B1HoaR_E[/video]
wakuu kwa anayejua naomba anijuze jinsi bunduki inafanya kazi.
nilitaka kujua mechanism ya simple gun. kama za WWI.
shukrani sana mkuu. kwa maelezo yako na video za faiza nimeelewa vizuri sana.NI HIVI: **** bunduki za aina nyingi, zipo za vitani km SM, AK 47, G3, Light Machine Gun, Heavy Mchine gun etc. Kuna bunduki za kuwindia na kuna bastola.
Bunduki za vitani ni automatic, kwa maana kwamba unapopoga risasi moja, inaruhusu nyingine kuingia chamber. Risasi hukaa kwenye kasha (magazine na nyingine huyumia mkanda). Kimsingi bunduki inafanya kazi kwa msaada wa spring iliyoshikilia cocking handle. Unapovuta cock nyuma na kuiachia, spring huiridisha kwa kasi hivyo kuiwezesha kuchota risasi kwenye kasha na kuiweka chamber tayari kupigwa. Kupoga unabonyeza triger, hapo utatokea mlipuko wa baruri iliyomo kwenye risasi nayo risasi itatoka kwa kasi. Risasi inapotoka, ule mshtuko utaisukuma nyuma cock na kurudi huku ikichota risasi nyingine na kuiweka chamber tena. Vitendo hivyo vyote hufanyika kwa sekunde moja. Hiyo ni automatic.
Bunduki za kuwindia mara nyingi sio automatic, hivyo risasi ikishalipuka, unacock tena ili risasi nyingine iingie chamber.
Wewe Unataka Kuwa Jambazi Siyo Bure,nahisi Unamiliki Silaha Kinyume Cha Sheria Na Umeificha Sehemu,kama Kweli Unataka Kununua Bunduki Ya Kujilinda Hakukuwa Na Haja Ya Kutaka Maelekezo Kutoka Humu,ukishamaliza Legal Procedures Za Kumiliki Silaha,pale Pale Unaponunulia Silaha Yako Kuna Wataalamu Wanakufundisha Namna Ya Kuitumia Kama Hujui,bunduki Haziuzwi Kama Nguo Tu,unafika Dukani Unanunua Na Kuondoka Nayo.
NI HIVI: **** bunduki za aina nyingi, zipo za vitani km SM, AK 47, G3, Light Machine Gun, Heavy Mchine gun etc. Kuna bunduki za kuwindia na kuna bastola.

We kabila gan?