Bundi kutua tena CCM!

Bundi kutua tena CCM!

Nuhu ameshatengeneza Safina watu wameingia anasubiri amri toka kwa mungu Je? Aifungee. Ulieko nje wahi kabla haijafungwa.
 
kama kuja waje wote... isipokuwa jk..nape..kinanna..mwigulu.. makamba.. sita..lusinde.. na Wanaofanana nao.. ikiwa ukawa watawakubali nahama chama naanzisha cha kwangu nipate ruzuku niendelee kusavaivu hapa mjini..
 
Kumbe ndicho alichokwenda kusisitiza kule kanisani Tabora mgombea wenu kwamba walutheri wajiandae kuingia ndani ya safina!! Haya kama kwa udini huu tutafika sijui!!

Tutafika kama tulivyofika siku zingine.
 
Kwa haraka naweza kutabiri hao watu.
Warioba
Bashe
Mwandosya
Kingunge
nchimbi
Filikunjombe
pinda
Kikwete
 
waondoke tu hatuwahitaji, WATU WENYE AKILI TIMAMU NA WASAFI WATAENDELEA KUBAKI CCM
CCM ni ile ile
USHINDI NI ULE ULE

USHINDI NI LAZIMA
 
Waje tu af iwe ni mwendo wa ukombozi yaan km walivyong'oka KANU na CCM ifuate mkondo na natamani hata Magufuli abwage manyanga ili chama kife kabisa

Mkuu magufuri mbeya leo ndio kapata joto ya mabadiliko maana alitamani ardhi ipasuke ajifiche kuzomewa
 
kama kuja waje wote... isipokuwa jk..nape..kinanna..mwigulu.. makamba.. sita..lusinde.. na Wanaofanana nao.. ikiwa ukawa watawakubali nahama chama naanzisha cha kwangu nipate ruzuku niendelee kusavaivu hapa mjini..

Umemsahau mkamia
 
waondoke tu hatuwahitaji, WATU WENYE AKILI TIMAMU NA WASAFI WATAENDELEA KUBAKI CCM
CCM ni ile ile
USHINDI NI ULE ULE

USHINDI NI LAZIMA

Mjiandae kuwafuata KANU na upc
 
Watoroke waje tu. Waachane na propaganda waende kwenye utekelezaji chini ya Lowassa.
 
Kumbe ndicho alichokwenda kusisitiza kule kanisani Tabora mgombea wenu kwamba walutheri wajiandae kuingia ndani ya safina!! Haya kama kwa udini huu tutafika sijui!!

Kwani kauanza yeye au anaendeleza sebene???!!!
 
Back
Top Bottom