Bundi kutua tena CCM!

Bundi kutua tena CCM!

Si Magufuli mwenyewe kasema..atashangaa kabaki na Bulembo asiyejua kusoma wala kuandika,posho zake anasaini kwa dole gumba
Usishangae magufuli nae akasepa,wewe unadhani kwa nini magufuli hasemi ccm oyee,badala yake utamsikia akisema either magufuli oye,au serikali ya magufuli au M4C au peopleeeees?
 
Inaonekana ww muda wote unawaza udini na ukabila hii inatokana na ukwel kwamba msemaji uliyem quote hajasema udini wowote lakini ww unakimbilia udini je hao wanaotaka kutoroka kwa maccm huko ni warutherani au wakaskazini? acha ujuha mm ni mu adventist na Kutoka Butiama na kura yangu ni kwa Lowasa kwakuwa kwa akili zangu makini siwezi kuwachagua watu ambao vinywa vyao vimejaza matusi na si hoja ya kwa nn watanzania waendelee kuwapa ridhaa.Wenzao wa ukawa wanasema kwa nn ccm wasichaguliwe lakini ccm wenyewe hawatwambii wamewafanyia nn watanzania muda wa miaka 50 ili wachaguliwe tena bali wao wanawambie watanzania tuchague mtu na wakati serikali itaundwa na watu wengi tena kutoka chama tawala ambacho kimeshindwa kuwasimamia watu wake!

Nawakubali sana wasabato wana maadili mazuri na hofu ya Mungu. Umenena vyema.
 
Ni kweli kabisa, hata mm nahamia ukawa rasmi tar 2october. Nitatangaza live kwenye Facebook page yangu
 
Heshima mbele wanajukwaa!

Nimepenyeshewa taarifa na mtu wa karibu kabisa ndani ya chama chetu tawala kua mwanzoni mwa mwezi October kuna viongozi waandamizi ndani ya CCM wanategemea kujiunga na UKAWA na kumuunga mkono mgombea ndani ya umoja huo!

Hata hivyo mnyetishaji wangu huyo ambaye hakutaka kuendelea kunipa ushirikiano zaidi wa ukweli wa taarifa zake zaidi ya kuniambia kua" we elewa hivyo kua kutakua na kitu kama hicho muda ukifika" awali aliniambia kua sasa ni dhahiri kua kuna watu ambao wako ndani ya CCM lakini nyoyo zao zote ziko ukawa kitu ambacho kimempelekea mgomea wao kulalamika kasalitiwa! amesema kuna hata wengine ambao no wagombea ndani ya CCM na wengine wamo ndani ya timu ya watu 32 iliyoundwa na mwenyekiti wao wa chama taifa, na wanatamani kutoka muda wowote huko lakini wanaogopa.

Kwahiyo mwanajukwaa ni hayo tu niliyoyachota mahali japo sijathibitishiwa ukweli wa hayo zaidi ya kuambiwa kua kuna kitu kama hicho, Mimi na wewe hatuna jibu kamili tusubiri muda ufike tusikie.

Hata Mimi niko CCM lakini kura yangu inaenda UKAWA
 
Waje tu af iwe ni mwendo wa ukombozi yaan km walivyong'oka KANU na CCM ifuate mkondo na natamani hata Magufuli abwage manyanga ili chama kife kabisa
 
Itakuwa moja ya habari njema kuelekea mabadiliko ya kweli
 
Mbona wanachelewa sasa wajiunge kabla ya uchaguzi siyo tumeshachukua nchi ndiyo waje!! ! Hakuna nmna nyingine ccm lazima ife
 
Na waje tu..maramana hakuna namna eenh..maramana tumechoka sasa!!
 
UKAWA wakiambiwa ni Kinana anahama watafurahi sana.....
 
Hapa sio taarifa yeyote, yani hakuna ulicho andika. Bora wengine muwa mnakaa kimya na kuaoma uzi wa wenzenu tu.
 
...mkuu bundi alishaweka kambi ccm tangu kitambo sana anachofanya sasa ni kutotoa tu. Subitri ukawa waanze kampeni ndo utajua maana ya bundi.....
 
Back
Top Bottom