Warren.T
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 900
- 318
Lisemwalo....?.
Lipooooooooooooooo!!!
Lisemwalo....?.
zingatia oparesheni toroka uje ndipo useme!
Yes, akili za kuambiwa ngoja tuchanganye na za kwetu.
Lisemwalo....?.
Kumbe ndicho alichokwenda kusisitiza kule kanisani Tabora mgombea wenu kwamba walutheri wajiandae kuingia ndani ya safina!! Haya kama kwa udini huu tutafika sijui!!
Hakuna kitu kama hicho isipokuwa kilichopo ni kuwa Ukawa kuna mgogoro unatokota na soon kuna kitu kitalipuka. Wengi mtakuwa mmeobserve ukimya uliopo huko karibuni, sasa hii rumour itakuwa ni tactic ya kutuzubaisha wakati wakijaribu kufunikafunika uozo unaosambaa. Mtakuja kuniambia.
Hakuna mbinu zozote za kuichafua ukawa, wao wenyewe wanajivuruga. Hakuna Ukawa anaegusa Ikulu mwaka huu. Wangekuwa na uwezo huo wasingekuwa wanahangaika na ....au ngoja kwanza Nikae kimya. Nitawapa updates kwa muda muafaka juu ya madudu yao.Mbinu za kuvuruga ukawa zote ziligonga mwamba kichapo kikali kwenye sanduku la kura october kinakuja
Tupo wengi ndani ya ccm tutatoka soon kuingia ukawa kunogesha mageuzi subirini kuanzia tarehe moja october ccm italia sana